NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2023/24 Serikali ilitenga Sh Bilioni 2.64 kwa ajili ya kugharamia taulo za kike ambapo kati ya fedha hizo Sh...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo.
Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli...
Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka...
Sijatumwa, lakini ikikupendeza,
Hawa watu waweke kwemye serikali yako. Wataiva tu pamoja, hata kama wana itikadi tofauti.
tuletee watu wa kutupeleka mbele hata kama wanatofautiano kimtizamo...
Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka.
Usikute...
Wengi wameshangaa RC Makonda kuombewa na viongozi mbalimbali wa Dini lakini wanasahau Mrisho Jambo mbunge wa Arusha ambaye ni mwislamu anaombewa na Nabii mkuu Geo Davie
Nakumbuka waziri wa fedha...
2005: Kikwete vs Mbowe Uchaguzi ulikuwa mwepesi sana kwa CCM
2010: Kikwete vs Dr Slaa Uchaguzi ukawa mgumu kiasi kwa CCM
2015: Magufuli vs Lowassa Uchaguzi ukawa mgumu sana kwa CCM
2020...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi...
Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo.
Kigezo...
Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM.
Nini kimemngo'a Paul Makonda?
Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha...
Jimbo la Musoma Vijijini lina mradi kabambe wa ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na baiolojia) kwenye Sekondari zake zote za Kata. Wananchi na Serikali yetu...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli...
Habari za jumatatu Mh. Rais
Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na...
Huwezi kuta hata waziri wa Fedha wa Rwanda anapost picha ya Kagame akimsifia sifia usidhani hakuna kitu wanafanya, wanafanya mengi ila huwezi kuta waziri wa Fedha wa Rwanda anafanya huo...
Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo.
Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita.
Serikali kila siku...
CAG amewasilisha Ripoti hii Kwa mujibu wa Kifungu cha 143 (4) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418, kuhusu...