Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Natoka Mwanza, kutoka Kibaha hadi Kimara nimeona tayari vituo zaidi ya Nane vya Mafuta vimejengwa kwenye hifadhi ya barabara. Ninaamini hivi vituo havikuwepo kwenye ramani ya barabara kwa wingi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ? Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za...
2 Reactions
7 Replies
789 Views
Nimeona clip ya askofu Mwanamapinduzi akihutubia wananchi katika mkutano ulioandaliwa na Bavicha wilayani Rufiji Kule X kwa Twaha Mwaipaya Askofu anasema Ujenzi wa Bwawa la Nyerere umetumia...
7 Reactions
141 Replies
6K Views
“Ukiangalia taarifa ya watazamaji wa uchaguzi wa kitaifa na kimataifa tangu mwaka 1995 wote wamesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi siyo huru, na wamesema siyo huru kwa sababu, moja ni tume ya Rais...
18 Reactions
89 Replies
6K Views
Serikali imeanza Ufungaji wa Kamera maalumu(CCTV) katika maeneo mbalimbali yanayozunguka magereza lengo ikiwa ni Uboreshaji wa Huduma za ulinzi na usalama pamoja na kwenda na dhana nzima ya...
0 Reactions
5 Replies
773 Views
Iran ameingia vitani na Israel kwa kurusha ndege zisizo na rubani zaidi ya 50. Pamoja na kuwa tupo mbali upo wakati vyombo na silaha za kivita ukosea target au ulazimishwa kuelekea uelekeo usio...
4 Reactions
3 Replies
720 Views
Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli...
32 Reactions
89 Replies
6K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema watumishi wa umma wasipoweza kuondoa viongozi dhalimu bora wafe tu. Nakubaliana na Mwalimu Nyerere ila najiuliza kama watumishi wa umma ni waoga na wameshindwa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Unaweza Ukawa Mgeni CCM Ila Usishindwe Kufahamu Kuwa Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. SSH, Ameitekeleza Ilani, Kwani; 1. Kaimarisha Demokrasia 2. Kazingatia Usawa wa Kijinsia 3. Kainua...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni...
1 Reactions
7 Replies
673 Views
Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri ni National figure entitled to National responsibilities. Narudia, Waziri ni cheo cha Kitaifa mwenye majukumu ya Kitaifa. Hapa nikiwa na maana kuwa anatakiwa aweke mizania sawa kwenye...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kumekucha ,ni kazi ya juu ya kazi, ni hakuna kulala wala kupumzika,hakuna kukaa wala kutulia. Kuanzia kesho secretarieti nzima ya CCM ikiongozwa na katibu Mkuu wetu Balozi...
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Imagine Jana karibia Mawaziri wote walikuwepo Arusha kwenye kumbikizi la kifo cha Sokoine. Baadaa ya kumaliza ibada hiyo wote wakakwea pipa kwenda Zanzibar kujadili masuala ya mafuriko Rufiji na...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Haya mambo ya Kutukana viongozi yameanza kitambo sana ifike wakati sasa Serikali ikomeshe hii Tabia Nawasilisha!
5 Reactions
9 Replies
390 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…