Kamati ya kutoa ripoti ya maafa ya mafuriko imekutana Zanzibar chini ya Rais Samia

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,882
16,799
Imagine Jana karibia Mawaziri wote walikuwepo Arusha kwenye kumbikizi la kifo cha Sokoine.

Baadaa ya kumaliza ibada hiyo wote wakakwea pipa kwenda Zanzibar kujadili masuala ya mafuriko Rufiji na maeneo mengine.

Hiyo bajeti na muda wa kudhurula angania wanatoa wapi, walishindwa vip kukutana Arusha kuratibu zoezi zima hadi waende Zanzibar, kwani Zanzibar ndio yanako amuliwa mambo ya Tanganyika?

Aisee kwa namna hiyo mtaendelea kutukanwa sana na tumechoka kuwatete Serikali nzima haiko makini kabisa.

IMG_20240413_205154.jpg


Pia soma: Kikao cha kupokea ripoti ya maafa ya mafuriko
 
Kikundi cha wahuni, ukiwaona kwenye picha unaweza dhania watu wa maana sana, ila wakifungua midomo yao ni takataka tupu zinatoka kinywani
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom