Rais fanya haya kuleta heshima hapo Serikalini

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
318
891
Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda.

Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa kukutukana ni watu wako wa karibu uliowaamini na kuwapa vyeo vikubwa serikalini.
Tunajua mawaziri wengi kwenye ripoti ya CAG mara kibao wametuhumiwa kuiba pesa nyingi na kuziondoa kwenye miradi iliyokusudiwa.

Sasa kwa kuwa hawa wezi (Mawaziri) wamechukulia advantage ya sheria zetu kuwa butu kuwawajibisha kutokana na wizi wao hadi wanapata kiburi kwenye korido kujipiga vifua kwamba hakuna wa kuwafanya chochote.

Mawaziri hawa na idara zao wanapoiba mali ya umma na wewe kutowashughulikia wala sheria zetu kutowawajibisha, inatoa tafsiri kwa umma kwamba serikali iliipo madarakani ni dhaifu kiasi kwamba inatishwa hata kwa vinyago ilivyovichonga yenyewe.

Kipi kifanyike;
1. Naomba Rais upeleke mswada bungeni wa sheria kali ipatikane ya kushughulikia mafisadi wote walioko serikalini kuanzia waziri Mkuu.

2. Ukaguzi wa CAG uende sambamba na ukaguzi wa TAKUKURU. kwamba Ofisi ya CAG pia atakuwa akikaguliwa na ofisi ya TAKUKURU, endapo kuna Wizara imeonga CAG isikaguliwe baadhi ya ufisadi wake, TAKUKURU awe na mamlaka ya kufichua hujuma hizo, na hivyo kupeleka watuhimiwa mahakama na kuisimamia kesi hiyo. Kwa kifupi CAG itamkagua TAKUKURU, na TAKUKURU itamkagua CAG.

3. Sheria itakayo pelekwa bungeni itakuwa kali sana kwa waziri yeyote anayetajwa kuhusika na ufisadi hata wa senti tano kwenye wizara yake. Waziri na chain yake yote wizarani na idara wataenda mahakamani kusikiliza kesi hiyo.

4. TAKUKURU atapewa mamlaka ya kuzikagua mahakama na kesi zote zilizopo mahakamani kama kuna hujuma ya RUSHWA, TAKUKURU muda huo huo itafungua kesi nyingine kuhusu Rushwa hiyo.

5. Sheria itakayoenda bungeni ni pamoja na inayohusisha mikataba ya kimataifa. Waziri anayeingia mikataba ya kimataifa kwa jina la JMT pasipo kuepusha nchi kuingia hasara endapo mkataba huo utavunjwa. Hasara za kuvunja mkataba, malipo ya faini ya mkataba huo atayabeba waziri husika aliyeiingizia nchi hasara na sio serikali. Hata kama atakuwa amekufa mali zake zitapigwa mnada kwenda kulipa hasara hiyo. Hapa tuna taka kuleta heshima kwa mawaziri wetu kujua kwamba wana wajibu wa kuilinda nchi yetu Tanzania juu ya mikataba mibovu yoyote kutoka nje.

5. Rais naomba uzingatie suala la upatikanaji wa katiba mpya yenye mapendekezo kutoka kwa wananchi juu ya namna gani ya kuongozwa kwenye nchi yao. Kitendo cha kuikataa katiba mpya nyinyi CCM ni kujiweka kwenye infinity position ambayo ni nafasi ya Mungu pekee. Kesho na kesho kutwa itapigwa U turn na kujikuta ninyi ni chama pinzani sijui mmejipangaje kuburuzwa mahakamani na kufirisiwa. Kwa hiyo nakuomba katiba mpya ipatikane haraka.

Kwa kuzingatia hayo, mh Rais hata hautakuwa na haja ya kugombana na mawaziri wako maana mifumo ya sheria mathubuti ya nchi ndio itakuwa inafanya kazi, huku ukiwa unawavutia wananchi wengi kutokana na utendaji kazi wako ulio tukuka.
Wananchi hatupendezwi na wizi unao endelea serikalini kwa sababu ndio chanzo cha mh. Rais kidharaulika na wananchi kuendelea kudhalaurika maradufu wakijaribu kuhoji wana jibiwa kwa dharau "waamie Burundi"
 
Kifupi kutokana na upole wako katika kuongeza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa kukutukana na watu wako wa karibu uliowaamini na kuwapa vyeo vikubwa serikalini.
Tunajua mawaziri wengi kwenye ripoti ya CIG mara kibao wametuhumiwa kuiba pesa nyingi na kuziondoa kwenye miradi iliyokusudiwa.

Sasa kwa kuwa hawa wezi (Mawaziri) wamechukulia advantage ya sheria zetu kuwa butu kuwawajibisha kutokana na wizi wao hadi wanapata kiburi kwenye korido kujipiga vifua kwamba hakuna wa kuwafanya chochote.
Mawaziri hawa na idara zao wanapoiba mali ya umma na wewe kutowashughulikia wala sheria zetu kutowawajibisha, inatoa tafsiri kwa umma kwamba serikali iliipo madarakani ni dhaifu kiasi kwamba inatishwa hata kwa vinyago ilivyovichonga yenyewe.

Kipi kifanyike;
1. Naomba rais upeleke mswada bungeni wa sheria kali ipatikane ya kushughulikia mafisadi wote walioko serikalini kuanzia waziri Mkuu.

2. Ukaguzi wa CIG uende sambamba na ukaguzi wa TAKUKURU. kwamba Ofisi ya CIG pia atakuwa akikaguliwa na ofisi ya TAKUKURU, endapo kuna Wizara imeonga CIG isikaguliwe baadhi ya ufisadi wake, TAKUKURU awe na mamlaka ya kufichua hujuma hizo, na hivyo kupeleka watuhimiwa mahakama na kuisimamia kesi hiyo. Kwa kifupi CIG itamkagua TAKUKURU, na TAKUKURU itamkagua CIG.

3. Sheria itakayo pelekwa bungeni itakuwa kali sana kwa waziri yeyote anayetajwa kuhusika na ufisadi hata wa senti tano kwenye wizara yake. Waziri na chain yake yote wizarani na idara wataenda mahakamani kusikiliza kesi hiyo.

4. TAKUKURU atapewa mamlaka ya kuzikagua mahakama na kesi zote zilizopo mahakamani kama kuna hujuma ya RUSHWA, TAKUKURU muda huo huo itafungua kesi nyingine kuhusu Rushwa hiyo.

5. Sheria itakayoenda bungeni ni pamoja na inayohusisha mikataba ya kimataifa. Waziri anayeingia mikataba ya kimataifa kwa jina la JMT pasipo kuepusha nchi kuingia hasara endapo mkataba huo utavunjwa. Hasara za kuvunja mkataba, malipo ya faini ya mkataba huo atayabeba waziri husika aliyeiingizia nchi hasara na sio serikali. Hata kama atakuwa amekufa mali zake zitapigwa mnada kwenda kulipa hasara hiyo. Hapa tuna taka kuleta heshima kwa mawaziri wetu kujua kwamba wana wajibu wa kuilinda nchi yetu Tanzania juu ya mikataba mibovu yoyote kutoka nje.

5. Rais naomba uzingatie suala la upatikanaji wa katiba mpya yenye mapendekezo kutoka kwa wananchi juu ya namna gani ya kuongozwa kwenye nchi yao. Kitendo cha kuikataa katiba mpya nyinyi CCM ni kujiweka kwenye infinity position ambayo ni nafasi ya Mungu pekee. Kesho na kesho kutwa itapigwa U turn na kujikuta ninyi ni chama pinzani sijui mmejipangaje kuburuzwa mahakamani na kufirisiwa. Kwa hiyo nakuomba katiba mpya ipatikane haraka.

Kwa kuzingatia hayo, mh Rais hata hautakuwa na haja ya kugombana na mawaziri wako maana mifumo ya sheria mathubuti ya nchi ndio itakuwa inafanya kazi, huku ukiwa unawavutia wananchi wengi kutokana na utendaji kazi wako ulio tukuka.
Wananchi hatupendezwi na wizi unao endelea serikalini kwa sababu ndio chanzo cha mh. Rais kidharaulika na wananchi kuendelea kudhalaurika maradufu wakijaribu kuhoji wana jibiwa kwa dharau "waamie Burundi"
Unazungumzia serikali hii? Wafanye hayo? 😂
 
Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria. Ingekuwa rahisi basi watumish wa serikali wasingetofautiana mshahara. Fulani alipwe million 40 fulani alipwe laki saba. Duh hilo tu picha nadhani umeelewa nini maana ya serikali.
 
Tunataka Nchi yenye MIHIMILI MITANO;
1. SERIKALI
2. BUNGE
3. MAHAKAMA
4. TUME HURU YA UCHAGUZI
5. MKAGUZI MKUU WA SERIKALI (CAG)
Mkiona shida saana, Bunge lisiwe mhimili bali iwe ni sehemu ya Mahakama kawe ka Idara tu ili mihimili ibaki 4 maana bunge limejaa Machawa na Walevi wa madaraka.
Hapo tutakuwa tumeweka checks and Balances kiasi chake.
 
Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria. Ingekuwa rahisi basi watumish wa serikali wasingetofautiana mshahara. Fulani alipwe million 40 fulani alipwe laki saba. Duh hilo tu picha nadhani umeelewa nini maana ya serikali.
Sasa kulipwa mshahara na uwajibishwaji serikalini vinahusianaje hapo? Kwani China watumishi wote wanalipwa laki saba? Mbona wanawajibishana?
 
Mkuu sio rahisi kama unavyofikiria. Ingekuwa rahisi basi watumish wa serikali wasingetofautiana mshahara. Fulani alipwe million 40 fulani alipwe laki saba. Duh hilo tu picha nadhani umeelewa nini maana ya serikali.
Unadhani why mishahara inatofautiana?

Watu Kama wwwe ndio mnafifisha hoja za msingi
 
Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda.

Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa kukutukana ni watu wako wa karibu uliowaamini na kuwapa vyeo vikubwa serikalini.
Tunajua mawaziri wengi kwenye ripoti ya CAG mara kibao wametuhumiwa kuiba pesa nyingi na kuziondoa kwenye miradi iliyokusudiwa.

Sasa kwa kuwa hawa wezi (Mawaziri) wamechukulia advantage ya sheria zetu kuwa butu kuwawajibisha kutokana na wizi wao hadi wanapata kiburi kwenye korido kujipiga vifua kwamba hakuna wa kuwafanya chochote.

Mawaziri hawa na idara zao wanapoiba mali ya umma na wewe kutowashughulikia wala sheria zetu kutowawajibisha, inatoa tafsiri kwa umma kwamba serikali iliipo madarakani ni dhaifu kiasi kwamba inatishwa hata kwa vinyago ilivyovichonga yenyewe.

Kipi kifanyike;
1. Naomba Rais upeleke mswada bungeni wa sheria kali ipatikane ya kushughulikia mafisadi wote walioko serikalini kuanzia waziri Mkuu.

2. Ukaguzi wa CAG uende sambamba na ukaguzi wa TAKUKURU. kwamba Ofisi ya CAG pia atakuwa akikaguliwa na ofisi ya TAKUKURU, endapo kuna Wizara imeonga CAG isikaguliwe baadhi ya ufisadi wake, TAKUKURU awe na mamlaka ya kufichua hujuma hizo, na hivyo kupeleka watuhimiwa mahakama na kuisimamia kesi hiyo. Kwa kifupi CAG itamkagua TAKUKURU, na TAKUKURU itamkagua CAG.

3. Sheria itakayo pelekwa bungeni itakuwa kali sana kwa waziri yeyote anayetajwa kuhusika na ufisadi hata wa senti tano kwenye wizara yake. Waziri na chain yake yote wizarani na idara wataenda mahakamani kusikiliza kesi hiyo.

4. TAKUKURU atapewa mamlaka ya kuzikagua mahakama na kesi zote zilizopo mahakamani kama kuna hujuma ya RUSHWA, TAKUKURU muda huo huo itafungua kesi nyingine kuhusu Rushwa hiyo.

5. Sheria itakayoenda bungeni ni pamoja na inayohusisha mikataba ya kimataifa. Waziri anayeingia mikataba ya kimataifa kwa jina la JMT pasipo kuepusha nchi kuingia hasara endapo mkataba huo utavunjwa. Hasara za kuvunja mkataba, malipo ya faini ya mkataba huo atayabeba waziri husika aliyeiingizia nchi hasara na sio serikali. Hata kama atakuwa amekufa mali zake zitapigwa mnada kwenda kulipa hasara hiyo. Hapa tuna taka kuleta heshima kwa mawaziri wetu kujua kwamba wana wajibu wa kuilinda nchi yetu Tanzania juu ya mikataba mibovu yoyote kutoka nje.

5. Rais naomba uzingatie suala la upatikanaji wa katiba mpya yenye mapendekezo kutoka kwa wananchi juu ya namna gani ya kuongozwa kwenye nchi yao. Kitendo cha kuikataa katiba mpya nyinyi CCM ni kujiweka kwenye infinity position ambayo ni nafasi ya Mungu pekee. Kesho na kesho kutwa itapigwa U turn na kujikuta ninyi ni chama pinzani sijui mmejipangaje kuburuzwa mahakamani na kufirisiwa. Kwa hiyo nakuomba katiba mpya ipatikane haraka.

Kwa kuzingatia hayo, mh Rais hata hautakuwa na haja ya kugombana na mawaziri wako maana mifumo ya sheria mathubuti ya nchi ndio itakuwa inafanya kazi, huku ukiwa unawavutia wananchi wengi kutokana na utendaji kazi wako ulio tukuka.
Wananchi hatupendezwi na wizi unao endelea serikalini kwa sababu ndio chanzo cha mh. Rais kidharaulika na wananchi kuendelea kudhalaurika maradufu wakijaribu kuhoji wana jibiwa kwa dharau "waamie Burundi"
Ccm ni chama cha hovyo sana.

Badala watajane majina ya wanaoiba fedha za umma na rasilimali eti wao wanatukanana tu.

Yaani matusi sisi wananchi yanatusaidia nini?

Dr Samia Piga kazi achana na wachonganishi hawa chawa.
 
Safi sana huu ushauri wako kwa Mhe. Rais, naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom