Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa...
Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah.
2030 sio mbali Dr...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeonyesha taasisi za Serikali zinadaiwa mikopo ya muda mrefu yenye thamani ya Sh1.73 trilioni ambazo hazijalipwa kuanzia mwaka...
Ndugu wakulima wenzangu habari njema zimetangazwa.
Rais wa JMT Samia Kupitia Waziri wa Kilimo bwana Bashe ametangaza kuanza kununua Mahindi Kwa awamu ya pili baada ya awamu ya kwanza kukamilika...
Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya...
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza...
Katibu Mkuu wa CCM na team yake , akiwemo Pedeshee Amos Makalla wameanza ziara ya kinachoitwa kujitambukisha huko mikoani , Leo wako Katavi .
Hatuna kesi yoyote na wao kufanya ziara zao , Japo...
Ukiitafakari nchi ya Tanzania, ni kama nchi bandia iliyojaa mambo bandia yanayochekesha na kuudhi.
Fikiria kuwa kwa miaka mingi Watanzania wametaka kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi, wakimaanisha...
MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Asifu Utendaji Kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kuheshimisha Wanawake, Serikali na CCM Katika Kipindi cha Miaka Mitatu Aliyokaa...
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan. Ni mwenye kusikia kama Jina lake linavyosadifu, amesikia kero za wananchi wake na amezitatua kwa kiwango kikubwa na bado...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
Mara nyingi hata watu wazuri walichafuka kwaajili ya kujishikamana na watu wenye matendo machafu. Kuna misemo na mausia mengi kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka kwenye jamii juu ya wale...
Habari zenu wakuu.
Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa.
Kama ilivyo kawaida kwa shughuli...
Nikikumbuka tulikotoka, ugumu wa maisha kisiasa na uhalisia wa maisha ya mtu mmoja mmoja, nashawishika kumkubali Samia hadharani bila hata haya wala soni.
Watanzania tuna mengi ya kuridhika...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Dk Festo Dugange amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali ya gari
Habari za...
Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE...
Hii imeshindikana, mfumo wa maisha umewafanya watu watamani kuwa matajiri asubuhi bila kuvuja jasho.
Kuna mbinu zinatumika zinaumiza uchumi, lakini pia zinachafua taswira ya ofisi ya mkuu wa...
Waziri wa Fedha Dk.Mwigulu Nchemba Amesema ingawa Rais Samia alipokea Nchi ikiwa kwenye Hali ngumu ya kiuchumi kutokana na Changamoto za Kidunia sanjali na tukio lisirotarajiwa la kifo Cha Rais...
Wananchi wa Loliondo wamesalitiwa tena. Kwa kipindi hiki ni mbunge wao Saning'o Ole Telele na Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka. Kuna tetesi kuwa Sendeka alisafirishwa kutoka Arusha kwa gari ya...
Kwa miaka zaidi ya kumi chama cha mapinduzi kimewekeza kutengeneza watu tegemezi na wasio na sifa za uongozi. Kimewatengeneza akina Makonda, Kihongosi, heri James, Sabaya, Jery na akina Mange ...