Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na...
14 Reactions
25 Replies
514 Views
Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani...
0 Reactions
39 Replies
457 Views
Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya...
5 Reactions
10 Replies
941 Views
"Zitto Kabwe ameomba na kumtaka rais, na kumshangaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba, unasema hakuna aliye juu ya sheria mbona mzee wa watu hakamatwi? Ina maana yuko juu ya sheria...
3 Reactions
24 Replies
900 Views
Wanabodi Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya...
72 Reactions
194 Replies
29K Views
The accusations being thrown at the Vice Chairman of CHADEMA regarding alleged embezzlement of party funds to build a house are not only baseless but politically motivated. The house being...
2 Reactions
16 Replies
223 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira akizungumza katika mahojiano na TBC leo Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesisitiza kuwa hakuna njia ya...
2 Reactions
39 Replies
639 Views
KALAMU YA UZALENDO Demokrasia Isigeuzwe Kuwa Biashara ya Chuki "Taifa halifi kwa sababu ya tofauti za mawazo; taifa hufa pale tofauti hizo zinapogeuzwa kuwa chuki." Katika miaka ya hivi...
3 Reactions
13 Replies
180 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-viongozi-wetu-wawajibike-kwa-makosa-yao-4757170 Wanabodi, Hii ni makala...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna hizi sauti za watu wawili wakijadiliana kuhusu kwenda Dar es salaam kuisaliti CHADEMA zinasambaa huko mitandaoni. Kama hizi sauti ni za kweli, basi CCM wamedhalilika na hoja yao kuwa CHADEMA...
11 Reactions
29 Replies
677 Views
30 June 2026 Kigali, Rwanda Rwanda imetanua wigo wake wa kupokea shehena ya mafuta yake, Na kwa mara ya kwanza mzigo wa tani 40,000 za bidhaa za petroli kupitia bandari ya Tanga Mafuta hayo...
4 Reactions
14 Replies
475 Views
Wanabodi, Najua wengi wetu wameumizwa sana na kifo cha kikatili cha Mzee Ali Mohamed Kibao, natoa tena pole kwa wote. Watu wamekasirika hadi kuwasomea Albadir, hivyo mimi kama kawaida yangu...
22 Reactions
78 Replies
5K Views
Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo...
0 Reactions
4 Replies
173 Views
Dk Paula Cristina Roque Dk Paula Cristina Roque ni mkurugenzi mtendaji wa Intelwatch, shirika linalofuatilia matumizi ya kisiasa na yasiyo ya kidemokrasia ya huduma za ujasusi na ulinzi katika...
6 Reactions
15 Replies
326 Views
Umuofya kwenu? Mjadala wangu kwa leo ni mfupi sana kama ulivyo katika mada. Kwamba Samia aliingia madarakani kisha Mbowe akakamatwa kwa kesi waliyosema ni ya ugaidi. Baada ya takribani miezi 8...
6 Reactions
33 Replies
484 Views
Serikali imesema kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026 imetaifisha mali mbalimbali zilizopatikana kwa njia ya uhalifu. Mali hizo ni pamoja na fedha taslimu TZS bilioni 2.9, dola za Marekani 903,875...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Katika hali ambayo inaashiria kuwa fedha ambazo amezipata kwa njia ya ufisadi anazitumia kujijenga kisiasa na hatimaye anateuliwa kuwa mgombea wa Urais...
14 Reactions
471 Replies
30K Views
Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia...
4 Reactions
46 Replies
850 Views
Naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu tozo za usafi katika Kata ya Usagara, Wilaya ya Misungwi. Tozo hizi zimekuwa kubwa mno kwa uwezo wa wafanyabiashara wadogo. Mfano, mama ntilie analipishwa Sh...
3 Reactions
7 Replies
164 Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutokea Chadema Usiondoke Jf == Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Rombo kimemwandikia barua aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Joseph Selasini...
31 Reactions
112 Replies
2K Views
Back
Top Bottom