Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amesema kuwa msimamo wake hauwezi kubadilika wala kutetereka na uwepo maneno au propaganda dhidi yake.
Heche ameyasema...
MBUNGE SUBIRA MGALU AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KEREGE, ATOA MAELEKEZO YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. CPA Subira Khamis Mgalu, amefanya ziara ya kukagua miradi ya...
..Ni aibu sana Mama Abduli kuchangiwa bil 200 za kampeni halafu akashindwa ushawishi na Mange Kimambi.
..Mange angekuwa na 20% ya mihela aliyokuwa nayo Mama Abduli, na angekuwa ground hapa Tz...
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction and Reform (NCCR) mwaka 1991, wakiongozwa na...
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amepandishwa cheo na kuwa Kamishna wa Polisi, pamoja na kuteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
Pole sana blo angu' Zitto Kabwe
Mbogamboga walisubiri zambarau muingie nao kwenye ndoa ya mkeka kule Zanzibar, halafu wakumanue kwenye kesi ya ubunge Kigoma. Kwa maamuzi haya ya leo it means ndoa...
Chadema Fukuza Joseph Selasini sasa hivi
Joseph Selasini alikuwa ni miongoni mwa Wanamageuzi 15 waliounda Kamati ya Kitaifa ya Mabadiliko ya Kikatiba, The National Convention for Construction...
Ndugu zangu Watanzania,
Hofu Iliyo ndani Ya Kifua Cha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa...
Maana kutetewa huku kwa uporomoshaji matusi wa wafuasi wake si ndio kunathibitisha kabisa kua muungwana ni fisadi?
Inaonekana wazi kabisa kwamba katibu mkuu wa chadema taifa na wafuasi wa fisadi...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao,
Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha...
Hii ndio Taarifa mpya ambayo nimepenyezewa kutoka kwenye Taasisi inayoratibu jambo hilo Muhimu.
Taarifa zingine zinadokeza kwamba orodha hiyo ni ndefu na inatisha.
Bali Mratibu wa Jambo hilo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kelele za Tuhuma zimemuibua Heche Kutoka Mafichoni. Heche Sasa baada ya Kupigwa kwa kelele na kumtaka ajibu tuhuma za kupokea pesa kutoka kwa Wadau kupitia akaunti yake...
Ndugu zangu Watanzania,
Huko Marekani Kuna Mwana Mama Kaapishwa kuwa Seneta Kumalizia Muhula Wa Kaka Yake Aliyefariki Dunia.
Sasa Jambo Hilo lingefanyika Hapa Tanzania Ungeona CHADEMA Na...
Taasisi nyingi za Serikali zinaweka namba za Ofisi za Simu ambazo hazipatikani na hata zikipatikana hua hazipokelewi. Hii ni kero sana kwa watu wanaohitaji msaada wa haraka au majibu ya haraka
Hii kwa wenzetu angalau nchi za ulaya wameweza. Suasa sio ajira kwao. Ni sehemu ya utumishi wa umma ambapo mtumishi tayari ana maisha yake nje ya siasa. Ndio maana inakuwa kwao rahisi kusikia...
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya CCM, Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo), amewasili Mahakamani leo, Alhamisi Julai 16, 2026, kwa ajili ya kusikiliza uamuzi wa awali katika kesi ya uchaguzi...
Huwezi kuwa greater thinker alafu uwe mnafiki na mtu wa kupindisha pindisha maneno
wajinga waitwe wajinga , wapumbavu waitwe wapumbavu kulingana na sifa zao
Kwa wale wenye sifa za wanyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.