Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Bele Ponela, amemlipua kiongozi wa kimila, Chifu Songea Mbano, akidai kuwa sio chifu halisi bali ni mwanachama wa CCM na "tapeli" aliyetumiwa kukanusha...
Kumekuwepo na tuhuma zinazomhusisha mtumishi wa umma katika taasisi TAKUKURU na mwenendo unaodaiwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma.
Ni muhimu mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina ili...
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna...
Ni aibu kwa mwanasiasa kuuza jina la mwenzake aliyekwisha tangulia mbele ya haki. Lakini naona CCM wanalazimika kuuza jina na uzalendo wa Nyerere hadi nje ya Nchi.
Nilianza kuona Waziri wa mambo...
Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa.
Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi...
Naona moshi Mweusi huko pwani ya Tanzania.
Nchi ipo kuaminisha Dunia uongo kwamba watu wanaishii kwa upendo na amani, halafu anatokea DC anatia kitumbua Mchanga.
Na hivi haziivi na uzao wa...
Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi
Hii imekaaje? Mbona yule...
Clemence Mwandambo ametoa kauli kali akidai kuwa baadhi ya Watanzania wamefikia hatua ya kuichoka amani na badala yake wanaelekea kutaka vurugu kwa kusikiliza watu anaowaita wachochezi.
Naona...
Professor Mussa J Assad. CAG Mstaafu akifanya mahojiano na Clouds Media Juni 22, 2026 amependekeza umuhimu wa kuwa na kanzidata (database) ya kitaifa itakayofuatilia utekelezaji wa mapendekezo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bwana David Kafulila, ameendelea kujijengea sifa kama mmoja wa viongozi wa umma wanaorejesha na kuimarisha...
Hamjambo!
Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja...
Sote ni mashuhuda wa namna ambavyo chadema inavyojipendekeza kwa mabwenyenye ya magharibi na kujiexpose bila kificho kwamba wao ni vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi.
Unadhani ni...
Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha...
Anna Tibaijuka, aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat-Nairobi na Waziri wa Tanzania, anachambua marekebisho ya Sheria ya Fedha 2026 kwenye kifungu cha 69 cha Sheria...
Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Hii nchi ngumu sana!
Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari!
Isitoshe kumbe ni baba watoto wa...
Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.