Ndugu zangu watanzania,
Mwamba Paul Christian Makonda ndio maana anapendwa sana na wananchi wanyonge na wa hali ya chini wenye maisha ya kawaida na ya kutafuta mkate na chakula kila siku pale jua...
Mapambano ya kudai haki bado yanaendelea , Ambapo leo Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , ugumu wa Maisha , Kikokotoo na Sheria Mbovu za Uchaguzi , Yamefika Mkoani Singida , Yakianzia Singida...
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa...
Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti...
Haya na Wengine mnaolitaka Jimbo la Kawe 2025 kuweni makini Dogo ameshaanza Kuingizwa Kundini kwani muda wote alikuwa anatamba kuwa iwe isiwe 2025 yeye ndiyo Mbunge wa Kawe na tayari ana kama...
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024 ambapo Marais na viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika...
Kwanza nachukua nafasi hii kuwapongeza wote mliosherehekea miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Mimi sikusherehekea)
Bali Swali langu ni hili, hivi Sherehe za Muungano zina...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar esSalaam,imemsafirisha Godlista Malisa kwenda nyumbani kwao Kwa ajili ya kumfanyia upekuzi,baada ya kudaiwa kuandika uchochezi katika mitandao ya kijamii.
Kwa...
MJANE wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari.
-
Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati...
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara .
Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
HISTORIA: TUMJUE "MZEE WA RUKHSA" RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI
Ali Hassan Mwinyi alizaliwa tarehe 8 mwezi wa tano (Mei) mwaka 1923 katika kijiji cha Kivure, wilayani Kisarawe ,mkoa wa Pwani...
Nimemsikiliza sana Godbless Lema
Nimemsikiliza sana Mrisho Gambo
Nimemsikiliza sana Ole sabaya
Pia nimemsikiliza Albert Chalamila
Kuna kila dalili Watanzania wameanza kuamka
Maneno mazito ya...
Vetting ya viongozi wa Zanzibar na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bara inafanyika kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hii ni sehemu ya mfumo wa Muungano kati ya...
Japo nina ushahidi wa kutosha kuhusu kilichofanywa na majasusi hasa kwenye kura za urais lakini naomba nisizungumzie uchakachuaji kabla ya kuzungumzia udini.
Ni dhahiri wengi wamempigia kura Dr...
Mrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata.
Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je...
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa?
Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza...
Leo asubuhi nimecheck TBC1, kinana anasema 'kupanuka kwa demokrasia na kuongezeka kwa uelewa wa mambo ya siasa katika jamii' ni baadhi ya sababu ya ccm kupoteza viti vingi ukilinganishwa na mwaka...
katika jamii iliyo makini kuna sababu kwa Basil Mramba KUWAOMBA RADHI WATANZANI Kwa kauli yake ya kusema NDEGE ya raisi lazima Inunuliwe hata mkila NYASI Heri angesema tule majani maana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.