Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anaegawa hizo tisheti za chawa wa mama akumbuke kuwapatia viatu vizuri pia hawa chawa tafadhali
0 Reactions
5 Replies
941 Views
CHATANDA ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKIZI YA MIAKA 90 YA DKT JOHN SAMWEL MALECELA Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameshiriki hafla ya kumbukizi ya Miaka 90...
1 Reactions
3 Replies
784 Views
"Hospitali za Serikali kuacha jukumu lake la msingi na kuanza kufanya kazi za anasa kama kuongeza ukubwa wa makalio badala ya kujishughulisha kikamilifu kutibu maradhi yanayosumbua wananchi, tunao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Fao la Kujitoa Laondolewa Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Kwa Sababu Halina Sifa Za Kuitwa Fao Hifadhi ya Jamii (Social Security) ni sera au programu zilizoanzishwa kwa lengo la kusaidia kulinda...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Ni takriban wiki 2 sasa tangu nilipoiona habari ya mafuriko ya Rufiji dam. Habari ilieleza kuwa sio chini ya kaya 1000 zimeathiriwa na maji ya mafuriko yaliyotokana na maji kujaa kwenye dam...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi. ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni...
1 Reactions
7 Replies
616 Views
MBUNGE SHONZA AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKOA WA SONGWE "Kwa bahati nzuri nimekuwa Mbunge kwa awamu ya pili Mkoa wa Songwe, tangu Mkoa wa Songwe uanzishwe...
1 Reactions
4 Replies
554 Views
Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao. Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
10 Reactions
182 Replies
19K Views
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
34 Reactions
165 Replies
7K Views
Kuna wakati ukizoea sana shida huwa unaacha kuichukulia kama shida ila inageuka kuwa kama maisha ya kawaida. Kwenye majiji makubwa hasa Dar, Dodoma Mwanza Mbeya na Arusha majira ya asubuhi na...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Hamza Hassan Juma kwaajili ya...
0 Reactions
4 Replies
670 Views
PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Mhe. Jesca David Kishoa (Mbunge wa Viti Maalum -Singida) Jana Jumamosi amefanya ziara ya kikazi katika kata ya Ibaga, Wilaya ya Mkalama. Ziara hiyo ni mahsusi ya kumuunga mkono Mheshimiwa Rais...
0 Reactions
8 Replies
938 Views
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda...
31 Reactions
90 Replies
10K Views
Nimeona hili nikabaki nashangaa kabisa. Yaani Mbunge ambaye Bungeni awezacho kufanya ni kusimama na kumsifu Rais na serikali na sio kuzisemea kero za wananchi wake huku akirudi kwake ni kuitisha...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Naibu Waziri mkuu Dr Dotto Biteko anashiriki mazishi ya General Ogolla nchini Kenya Source: Citizen TV
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nimetumia jina la DP World kujenga kichwa cha habari. Hivi juzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara amenukuliwa na media akibariki pambio inayotumiwa na chawa kwamba Awamu ya 6 imefanya mambo mengi ya...
0 Reactions
2 Replies
523 Views
WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Umasikini unaendelea kubakia kama mtaji mkuu namba 1 kwa CCM, na wao wanalijua hilo na wanafanya kila linao wezekana kuhakikisha umasikini hauishi nchi hii. Kwa Mbunge wa CCM anayeongoza jimbo...
12 Reactions
57 Replies
2K Views
Back
Top Bottom