Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Aprili 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Oparesheni za Ulinzi wa Amani wa Umoja wa Mataifa...
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia.
Sehemu zote hizo mwanae huyo...
Habari mhe. Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, pole sana na majukumu ya kila siku. Nikupongeze kwa hatua na juhudi binafsi unazozifanya katika kuipeleka Tanzania katika...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
Majimbo ya uchaguzi...
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering...
Makonda sasa asuke au anyoe, Kinana ametoa kauli kwamba falsafa ya Rais Samia ni kufuata Katiba sheria na kanuni, na kwamba watendaji wasidhalilishwe na viongozi.
Naiona falsafa ya makonda ya...
Ni ujinga kulazimishwa eti tusikumbuke uzuri wa ilivyokuwa awamu ya Magufuli
Ni ujinga kuendelea kutiana moyo kwamba, eti tupo pazuri na tunaelekea pazuri zaidi
hivi, Magufuli alitumia miujiza...
CHATANDA AWAPA POLE WAHANGA WA MAFURIKO WILAYANI KILOMBERO - MOROGORO
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kilombero...
Ile wiki ya Maandamano halali ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania inaendelea
Baada ya Mafanikio Makubwa Mjini Bukoba huko Kagera , Leo ni zamu ya...
"The ultimate measure of a man is not where he stands in the moment of confort,but where he stands the moment of challenge and controversy"
LETS STAND TOGETHER SO FAR WE'VE DECIDED TO STEP...
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo haina mfumo wa "kuzaa,kukuza na kulea" watu wanaotegemewa kuwa viongozi huko mbeleni. Uongozi Tanzania ni zali na ukiacha ngazi za juu,hapa ngazi za katikati...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni...
22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga...
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Wafanyakazi wa TRA wawatendee wema Wafanyabiashara kwa kuzingatia sheria na kujua Kuwa Hata wao ni Wafanyabiashara watarajiwa
Makonda amewataka...
January, Maharage, Yakubu: Mapacha watatu na dada yao waliojimilikisha sekta ya nishati ya Tanzania
Na Mwandishi Maalumu
January Makamba, Maharage Chande na Saidi Yakubu ni maswahiba wa karibu...
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge.
Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge...
Atangaza neema Mei Mosi kwa watakaotatua migogoro na kero za wananchi kwa wingi na ufanisi mkoani Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa amesema Maafisa Tarafa na Watendaji wa...
Ikiwa ni mwaka wa tatu(3)tangu SSH achukuwe kijiti cha uraisi kumekuwa na utitiri wa PhD za kutunukiwa mfululizo ambazo kimsingi nashindwa kuelewa muktadha wake ni nini
Yawezekana akawa na sifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.