Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Arusha imepata bahati na neema ya kipekee kabisa ya kuandaa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kitaifa ambayo itafanyikia Mkoani hapo jiji na lango kuu la watalii...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...."...
8 Reactions
10 Replies
851 Views
MWENYEKITI WA UVCCM MKOA KAGERA UNAUDHALILISHA MKOA SASA NI WAKATI WA KUJIUZURU MARA MOJA. BUKOBA KAGERA. Mkoa wa Kagera Jumuiya ya Mkoa wa Vijana (UVCCM) ilipata mwenyekiti mpya ambaye...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Bunge limepitisha mswada uliopelekwa bungeni na serikali kufanya mabadiliko ya katiba kwenye kipengele cha tume ya uchanguzi. Sasa kwa sheria mpya iliyopitishwa na bunge wakurugenzi wa wilaya na...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa upepo ulivyo vuma kule Bungeni huenda leo tukapata majibu ya kikokotoo Leo.
0 Reactions
10 Replies
729 Views
Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo. Vipi hapo kwako Kiongozi...
3 Reactions
5 Replies
644 Views
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
1 Reactions
9 Replies
703 Views
JF, amani iwe nanyi. Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
NIDA imejaaa uhuni mwingi sana, Ulaghai na ujanja ujanja na kwa sasa wamewekeza sana kwenye Media. Diily wako kwenye media kuelezea mafanikio yao ambayo kiuhalisia hayapo zaidi ya Hadaaa tupu...
37 Reactions
146 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hakuna mtanzania mwenye akili Timamu ambaye huwa anapenda ubaguzi au kubaguliwa au kumuunga mkono mtu anayeona amejaa mawazo ya kibaguzi na chuki katika kifua chake.kwa...
5 Reactions
92 Replies
3K Views
Suala la muungano wa tanganyika na zanzibar, liko wazi kuwa huu muuungano unafaida zaidi kwa wazanzibar na hasara kwa watanganyika. Nivile ccm kumejaa waoga, wachumia tumbo na wanafiki, ila...
1 Reactions
2 Replies
526 Views
Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
3 Reactions
13 Replies
641 Views
Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kumetokea patashika ya kisiasa tangu Tundu Lissu aushambulie muungano wa Tanzania kwenye kona ya kumgusa Rais Samia Suluhu kama mzanzibar katika kuamua (kikatiba) mambo mahususi ya watanganyika...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
16 Reactions
220 Replies
14K Views
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
MAANDALIZI YA KUSHINDA UCHAGUZI. Na Comrade Ally Maftah Uchaguzi ni mchakato unaohitaji maandalizi ya muda mrefu yenye umakini mkubwa, maandalizi hayo yanahusisha kujenga jumuia inayokupa nguvu...
0 Reactions
2 Replies
613 Views
Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu. Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Back
Top Bottom