Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

badison

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,450
2,721
Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao.

Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi.

Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo Rais lakini taarifa zipo kwamba rimoti ipo Msoga.

Kwanini hawa mawakala hawataki kuachia Nchi wakati muda wao umeisha. Obama alikuja hapa watu wakadeki hadi barabarani lakini hakuna cha maana alicho fanya kwa watanzania.

Leo hii hawa watu hawazeeki na bado wanataka ushawishi wa siri ndani ya serikali. Obama na Kikwete nyie ni watu wa aina gani mbona wote hamzeeki na kwanini serikali za Tanzania na Marekani zote zinafanana hazipo huru na nyie mpo nyuma ya pazia.

Agizo langu ni kuwataka muachane na serikali ya Tanzania na Marekani na muache fitna.
 
Kwanini hawa mawakala hawataki kuachia Nchi wakati mda wao umeisha. Obama alikuja hapa watu wakadeki hadi barabarani lakini hakuna cha maana alicho fanya kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom