Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wengi wanashangaa Waziri wa Fedha wa Uingereza kwenda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali Niliwahi kupishana njiani na Prof Malima wakati akiwa Waziri wa Fedha akienda bungeni kwa...
8 Reactions
7 Replies
508 Views
Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itasomwa leo tarehe 13 Juni, 2024 Bungeni Jijini Dodoma. ====== Mwigulu amenza kusoma bajeti na anaanza kwa kuzitaja shabaha za uchumi...
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Moja ya Eneo Muhimu la watu katika uongozi ni Wale unao onana nao Kila siku (Wanaokuzunguka) kama ni Machawa utafanya vituko vingi. Rais anapaswa kuzungukwa na vichwa vyenye Hekima ndio wa...
2 Reactions
5 Replies
388 Views
Mwigulu Nchemba akisoma bajeti ya serikali bungeni amesema suala la taasisi binfasi na za umma kutaka malipo ya huduma kwa fedha za kigeni zinaleta shida kwa watanzania kwa kuwa wanatumia Tsh na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Serikali imetoa mapendekezo ya Bajeti yake Kwa mwaka 2024/25 yenye zaidi ya Shilingi Trilioni 49.3 na kuainisha vyanzo vya pesa hiyo na matumizi yake. Ni vyema Sasa Wananchi na wadau tujikite...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari, Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024. Pia soma: Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za...
1 Reactions
0 Replies
687 Views
WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA. George Michael Uledi. Kyela,Mbeya. Januari 9,2023. Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Akisoma Bajeti ya Serikali Bungeni Waziri wa Fedha Dr.Mwigulu Nchemba ametoa onyo Kali Kwa Viongozi wa Kisiasa wanaopanda mbegu za chuki, ubaguzi na kuvunja utaifa wa Tanzania kuacha mara Moja...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda, Amesema kuwa ataendelea kupokea na kutekeleza maagizo ya Chama (CCM) kwakuwa chama hicho ni Kikubwa kuliko Serikali. Source: Habari mpya
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
21 Reactions
354 Replies
16K Views
Pamoja na bajeti yao kujaa mizaha, mara noti iwekwe nembo ya Yanga mara mnara wa GSM, lakini kikokotoo kimelegezwa ila bado. Kicheko cha askari polisi kufurahia hotuba yako kule Iramba naona...
9 Reactions
5 Replies
562 Views
Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti...
2 Reactions
4 Replies
717 Views
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu. Mwaka huu...
2 Reactions
53 Replies
968 Views
WADAU wa Bandari wameishauri serikali kuruhusu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuendelea kukusanya tozo itokanayo na huduma za bandari (wharfage) kama ilivyo sehemu zote duniani. Ushauri huo...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni 1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea 2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo 3. Bunge kufatiliwa na watu...
3 Reactions
1 Replies
375 Views
Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 136.2 kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakala ya Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA), kwa ajili ya kurejesha hali ya awali ya miundombinu ya...
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Back
Top Bottom