Nilipishana barabarani na Prof Malima akienda bungeni Kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
87,419
149,760
Wengi wanashangaa Waziri wa Fedha wa Uingereza kwenda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali

Niliwahi kupishana njiani na Prof Malima wakati akiwa Waziri wa Fedha akienda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali na tukapungiana Mikono

Mambo mengine ni uzalendo wa kawaida kabisa 😄😄

Jumaa Mubarak
 
Mwenzake.....anaenda na msafara khaaaa uzal3ndo kazi sanaa
 
Wengi wanashangaa Waziri wa Fedha wa Uingereza kwenda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali

Niliwahi kupishana njiani na Prof Malima wakati akiwa Waziri wa Fedha akienda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali na tukapungiana Mikono

Mambo mengine ni uzalendo wa kawaida kabisa 😄😄

Jumaa Mubarak
Uzalendo sio kutembea kwa miguu

OIC pia ulikua ni uzalendo?
 
Wengi wanashangaa Waziri wa Fedha wa Uingereza kwenda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali

Niliwahi kupishana njiani na Prof Malima wakati akiwa Waziri wa Fedha akienda bungeni kwa miguu kuwasilisha Bajeti ya Serikali na tukapungiana Mikono

Mambo mengine ni uzalendo wa kawaida kabisa 😄😄

Jumaa Mubarak
Professor Kighoma Ally Malima
 
Anachokifanya Mwigulu kinaakisi upumbavu wetu watanzania. Familia dhalili kabisa, maisha ya kuungaunga lkn unakuta inahangaika kufanya harusi ya milioni 20.

Mbwembwe kibao siku ya harusi, kesho yake hata hela ya boda hawana.
 
Back
Top Bottom