Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya awamu ya Sita ina jukumu la kubwa la kuwaletea Watanzania Maendeleo, ustawi bora wa Maisha, huduma za Kijamii bora na usawa kwa kila Mtanzania. Kuna kelele nyingi na matusi toka kwa...
1 Reactions
2 Replies
432 Views
Kwa mujibu wa Waziri anaeshugulikia mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ,Deni la Serikali limeongezeka kutoka Bilioni 155.8 mwaka 2020 Hadi zaidi ya Trilioni 1.1 mwaka 2024 kutokanaa...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna viongozi wa mikoa na wilaya wanaendeleza matumizi mabaya ya madaraka hasa eneo la ukamataji. Rais Samia amesema hayo wakati akitoa hotuba baada ya...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Joseph Mbilinyi amemtembelea nyumbani kwake Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa na kufanya naye mazungumzo. Wawili hao ambao wote ni wanamuziki wa kiwango...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Hongera kwako Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusimama kidete na hatimaye mradi huu mkubwa wa kimkakati na uliopigwa vita na Wakoloni, Wakoloni mamboleo,vibaraka wa wakoloni na wasiojitambua...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau, picha yajieleza hapo!! Hofu yangu ni moja na pengine watanzania naomba mnifafanulie. Kukiwa na punguzo la bei ya mafuta ya petroli sokoni bei isishuke bali ibaki kama hapo awali? Kwa tafsri...
3 Reactions
12 Replies
759 Views
Wasalaamu wanaJF, Tunapozungumzia National reconcilliation tunamaanisha kuwa lazima kuwe na give and take. Ipo hoja iliyobakia kutoka kwa wanachadema ya kwamba marekebisho katika kanuni au...
2 Reactions
3 Replies
726 Views
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno...
1 Reactions
0 Replies
465 Views
CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM...
3 Reactions
9 Replies
561 Views
Ninaandika taarifa hii kwa masikitiko makubwa kuhusu MAUWASA. Sasa yapata wiki mbili Mtaa wa Mwananchi, Kata ya Mahina, hapa Mwanza hatuna maji hata tone. Hakuna tatizo la umeme wa kusukuma...
0 Reactions
7 Replies
493 Views
Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwisho wa mwaka huu kuna uchaguzi muhimu na wa maana sana wa serikali za mitaa nchi nzima.. Na matokeo ya uchaguzi huu utatoa picha halisi ya sura na uelekeo wa uchaguzi mkuu ujao mwaka 2025...
0 Reactions
6 Replies
370 Views
  • Poll Poll
Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo...
0 Reactions
6 Replies
759 Views
Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara Kuna mahali nilikua na kakibanda...
16 Reactions
76 Replies
3K Views
Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi. Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani...
1 Reactions
5 Replies
385 Views
Back
Top Bottom