Mkuu wa Mkoa Nawanda: Chama cha Mapinduzi kikubwa kuliko Serikali

Note:
Tusome na tufuatilie kwa makini siasa zetu za nchi tujue chimbuko lake ni lipi, mrengo wake ni upi, utendajikazi wake ni upi ndipo tudai mabadiliko.

Tudai mabadiliko kwa vitu tunavyojua madhaifu na uimara wake bila kufanya hivyo tutakuwa tunajilisha upepo.
 
Sidhani kama ana uelewa wa Kati ya Chama na serikali nani kamkuta mwenzie
 
Safi sana nataka wakuu wa mikoa wa aina hii wenye kutambua nafasi ya chama na upekee wake. Siyo mwingine kwa kulewa masifa yake huko na ujuaji wa kitoto anataka kukipandishia mabega chama na viongozi wa chama.
 
Back
Top Bottom