Naweza kuuita ni mchoro bora kabisa wa Masudi Kipanya toka aanze kutuletea fikra chanya kupitia katuni zake.
Je, huu mchoro wenye rangi za chadema una maana gani wataalam?
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali...
Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze
1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi.
2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki?
Je...
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa...
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna.
Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu...
Kwa hakika mambo yakiendelea kwenda yanavyoenda ipo siku nchi itatawaliwa kwa asilimia mia moja na wakoloni usiniulize ni wakoloni wa aina gani kwani hata humu ndani wamo
Taifa limekosa vijana...
Mkuu wa mkoa kupewa Gari yenye special number na bendera ni kulinda hadhi Yako na aliyekuteua kadhalika kukulinda Wewe Binafsi
Sasa huyu Dr Nawanda alijua Yeye ni Sawa na Pambalu tu unaweza...
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani...
Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright.
Ila...
Nimesoma kwenye mtandao wa Instagram kwamba Hospitali ya Mloganzira itaanza kuhudumia wanaotaka kuongeza au kupunguza maumbile ya mwili kama matako, matiti nk.
Je, ni sahihi kwa taasisi kama hii...
Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi yanayegemea sana demokrasia ambayo ndani yake imo HAKI ya wananchi wote kwa wakati wote. Haki Huinua Taifa. Rais kwa hili linahitaji utashi wako ili...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ataongoza mikutano ya Mashauriano kwenye Mikoa ya Kanda ya Mashariki kama ifuatavyo:
Tanga tarehe 15 June
Arusha 16 June
Manyara 18 June
Kilimanjaro 19...
https://youtu.be/hHvbungjv-I?si=WvGqWz5ugZWo4yrY
Kuna wakati Mtanzania hakuwa anashughulishwa na tumbo lake tu: kufikiria atalipiaje kilo ya sukari, atalipiaje maji, umeme, gesi.... zote bidhaa...
Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika...
Sisi Wakongwe hatukufikiri kwamba Kaburu anaweza kurudi Serikalini
Kumbe mzee Mbowe aliona mbali kuingia Maridhiano na CCM japo kwa katiba ya Tanzania hauwezi kuiondoa CCM madarakani sana sana...
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni...
Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne
1.Mishahara haikupanda
2.Watu hawakuajiriwa
3.Madaraja hawakupandishwa
4.Mianya ya Upigaji ilizibwa
Sasa mambo mengi mazuri...
BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI, 2024
Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "BASHUNGWA CUP 2024" yataanza kurindima mwanzoni mwa mwezi Julai 2024 katika Wilaya ya...
TAARIFA KWA UMMA
KUKEMEA UDHIBITI WA UHURU WA HABARI NA UNYANYASAJI WA WAANDISHI WA HABARI
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimepokea kwa masikitiko taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa...
Wakati tupo TYL vijana tuliheshimika na kuogopwa sana na Viongozi wakuu wa TANU na wale wa Serikali
Hii ililithiwa hata na uvccm ya akina Sukwa, Guninita na hata Emmanuel Nchimbi
Bavicha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.