saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
WILLY RUTO WA KENYA MOJA YA WAKOPAJI MAARUFU BARANI AFRIKA KWA SASA.
George Michael Uledi.
Kyela,Mbeya.
Januari 9,2023.
Moja kati ya Propaganda kubwa ambayo ilikuwa inaendelea kutembea jana katika Magroup mengi ya CCM na Magroup mengi ya diaspora ni kipande cha picha ya Rais wa Kenya Mh Ruto eti akinukuliwa kuwa Kenya hatokopa tena mikopo kutoka nje.
Badala yake Kenya itatumia Rasilimali zake za ndani kwa kukusanya kodi zaidi na kuendesha Serikali na kujenga miradi ya Maendeleo kwa kutumia fedha zake za ndani!
Lengo kubwa la ujumbe ule wa jana ilikuwa ni kukosoa mikopo ambayo Mh Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amekuwa akichukua kwa ajili ya miradi yetu mikubwa ya kimkakati ya maendeleo.
UKWELI UKOJE KUHUSU KENYA YA MH RUTO MPAKA JANUARY 2023.
I.Mwishoni mwa mwaka wa 2022 yaani mwezi Desemba, Serikali ya Kenya ya Mh Ruto ilitaka "top up" ya mkopo wa USD 1 Bilioni kutoka Banki ya Dunia,lakini WB wakaikatalia Kenya kupata "top up"!Wazee wa "top up"nadhani mnanielewa vizuri!
"..Ruto's government attempted to secure an additional USD 1 Bilion(KSH 121Bilioni)loan from the Word Bank but was rejected due to the Country high fiscal risk and budget shortfalls,Word Bank report revealed!
Badala yake Willy Ruto akakubaliwa kupokea USD 750 milioni tu (KSH 90.75) kutoka kwa wakopeshaji wengine kwa mwaka unaoishia June 2023.
Siku tatu nyuma,Mh Ruto amenukuliwa na Vyombo vya habari vya Kenya kwenye interview akiwatoa shaka Wakenya kuwa Nchi yake itaendelea kulipa madeni yake yote ya Nje kama kawaida baada ya kuwepo taarifa za Kenya kushindwa kulipa madeni yake!
"..We won't default on any loan "Ruto assures Kenya in Media interview.
II.Zaidi akasema kuwa Nchi yake itapunguza kukopa na kuweka nguvu zaidi kwenye kukusanya mapato ya ndani kwa ajili ya Maendeleo ya Kenya!
Kwa kifupi sio kwamba Serikali ya Ruto ya Kenya haitaki kukopa,ukweli unabaki kuwa Nchi ya Kenya haikopesheki kwa sasa!Rejea kukataliwa "top up" kwa Kenya na Banki ya Dunia mwaka jana 2022 Mwezi Desemba tu.
III.Wakati Serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan mpaka dakika hii ikitoa ruzuku kwenye Kilimo na maeneo mengine,Serikali ya Kenya ya Mh Rais Ruto imetangaza kusitishwa kwa ruzuku katika sekta mbalimbali kwa lengo la kunusuru Uchumi wake!
"..one of the Ruto's Plan for 2023 is ending subsidies so that to build the economy..", media reports revealed!
Watu wanadhani IMF, WB na lenders wengine duniani wanatoa"wanamwaga" fedha kwa Tanzania bila sababu za msingi.
Hakuna mkopeshaji ambaye anaweza kuweka fedha yake rehani ndio maana WB huyo huyo kamkatalia "top up" Kenya!
Uchumi wa Tanzania inaonekana utakuwa "mtamu" zaidi ndani ya miaka 10 ijayo kwahiyo ni kichaa tu ambaye anaweza kuigomea Tanzania kukopa!Mradi wa Bomba la Mafuta Hoima -Tanga,Mradi wa mkubwa wa LNG wa gesi asilia,miradi ya Migodi mikubwa ya Kabanga + Nyanzaga iliyombio kuanza,returns za SGR,returns za Mradi wa Bandari ya Bagamoyo,Mradi wa Makaa ya Mawe ya Ruvuma ambayo now we are exporting!
Ni kichaa gani huko duniani anaweza kuitilia shaka uwezo wa Nchi ya Tanzania kulipa madeni hayo? Mpaka sasa Serikali ya awamu ya Sita imeendelea kulipa madeni hayo tena kwa kasi ya ajabu!
+255746726484.