Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi. Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi...
2 Reactions
3 Replies
614 Views
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kaeni mkao wa kula, kaeni mkiwa mmesafisha masikio yenu yawe na usikivu wa kutosha, na kesho kama ulipanga kwenda mahali basi ni bora ukaghairi kabisa na kusubiri...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Hebu pitia takwimu fupi za CHADEMA MWAKA1995 tulishinda Wabunge 4, madiwani 42. Mwaka2000, tulishinda wabunge 5 madiwani 75. Mwaka 2005 Wabunge 11 madiwani 103" Mwaka 2010 Wabunge 48...
14 Reactions
85 Replies
16K Views
Siasa ni nzuri halafu ni mbaya pia ebu imagine unachafuliwa kwa kitu kidogo ambacho labda hakipo kwenye siasa, mfano kupitia familia yako, mavazi yako au tembea yako Wahenga wanasema siasa...
1 Reactions
2 Replies
570 Views
Naulliza swali hili kwa msingi mkubwa. Let us keep record, tuone baada ya miaka kumi kama hawa ma RC wanaoshabikia kutumbua watu na wao kutumbua watakuwa hata na nyumba ya kujenga kwa hela zao...
1 Reactions
105 Replies
63K Views
Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
12 Reactions
325 Replies
43K Views
Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu. Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali. Ataunda uchunguzi wa karbu kila...
1 Reactions
13 Replies
545 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote...
8 Reactions
43 Replies
2K Views
Bismillah Rahman Raheem. Mwenye kufahamu atujulishe ili labda kama zina neema yoyote basi tumuombee dua, ama kama ni vipeperushi vya ccm tuachane naye. Wabhillah Tawfiq.
5 Reactions
15 Replies
714 Views
CHADEMA ni Chama kikuu Cha upinzani Tanzania, ndio mbadala wa CCM kwa Sasa, Ofisi kama hii hapa chini inashusha hadhi hii adhimu ya Chama. Kama Ofisi imebidi itumike kama genge la biashara, basi...
6 Reactions
16 Replies
971 Views
Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane...
2 Reactions
29 Replies
782 Views
Signs You are Born to be a Leader, According to Psychology BY PSYCHOLOGS MAGAZINE JUNE 10, 2024 The concept of leadership and leadership styles has informed a vast array of fields of research for...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Dunia imeanza kupitia wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Mwadamu, Athari za uhalibifu wa mazingira zimekuwa kubwa saana siku baada ya siku. Industrial countries zina mchango...
1 Reactions
1 Replies
281 Views
DENI LA TAIFA NA GIZA TUENDAKO 1961 - 1985 Chini ya utawala wa Mwl. Nyerere (RIP) aliyetawala kwa takriban miaka 25, pamoja na vita ya mwaka 1978-1979 na Idi Amini wa Uganda, mpaka anang'atuka...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
2 Reactions
3 Replies
505 Views
Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote...
2 Reactions
14 Replies
923 Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
20 Reactions
71 Replies
3K Views
Madiwani Jimbo la Hai wameliwa vichwa na UVCCM, baada ya Mbunge wao kuwezesha UVCCM kupata posho kufanya kikao cha Baraza. Madiwani sasa katafuteni mbunge wenu mwingine, mliye naye amewapiga kona.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
BRT ilipaswa kuwa fahari ya Dar kwenye masuala ya usafiri wa umma lakini leo BRT umekuwa janga kwa wasafiri wenye kuhitaji ustaarabu kama watu wazima na wazee. Mnajua jinsi unavyohitajika kuwa na...
1 Reactions
21 Replies
850 Views
Back
Top Bottom