Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno...
MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
🗓️21Aprili, 2024
📍Zanzibar
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika...
Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5.
Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki...
https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7
Nisiwachoshe.....
Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa...
Nu ukweli unaopaswa kuungwa mkono na Madiwani wa Nchi nzima.
Madiwani wa Mkoa wa Mara Wamepaza sauti zao na kuwataka WABUNGE wapunguziwe Mishahara yao ili Punguzo hilo walipwe Madiwani kama...
Ni nadra sana kusikia mwaka umeisha bila kelele, vurumai na sarakasi za kila aina kwenye biashara ya hizi bidhaa mbili za sukari na mafuta ya kula. Nini hasa kinasababisha haya yote ukizingatia ni...
Leo Rais Samia anakutana na Wasemaji wa serikali kutoka maeneo mbalimbali
Naomba kuelimishwa majukumu ya Hawa Wasemaji
Pili mniambie kuna tofauti gani Kati ya Hawa wasemaji na Lucas? 😄
Jumatatu...
Nadhani Mjadala wa kashfa ya Sukari utakuwa moto Sana pale bungeni wakati Spika Dr Tulia PhD atakapoweka hadharani ushahidi wa mh Mpina
Ni ama Mpina atafungiwa kuhudhuria bungeni kama ushahidi ni...
Nimeona kupitia Mwanzo TV Plus askofu Machumu Kadutu akiwaonya wote wanaomfananisha Rais wa Tanzania na Yesu au Mtume Muhammad SAW wasiendelee kufanya hivyo
Wote tunajua Yesu Kristo ni Nabii wa...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi...
Kumekuwa na mtifuano kati ya Mhe. Mpina na Mhe. Waziri wa Kilimo - Bashe kuhusu sukari iliyoagizwa ili kuziba pengo lililotokea katika nchi.
Mengi yamezungumzwa na Watanzania tumesikia mengi...
Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania
Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kaeni mkao wa kula, kaeni mkiwa mmesafisha masikio yenu yawe na usikivu wa kutosha, na kesho kama ulipanga kwenda mahali basi ni bora ukaghairi kabisa na kusubiri...
Siasa ni nzuri halafu ni mbaya pia ebu imagine unachafuliwa kwa kitu kidogo ambacho labda hakipo kwenye siasa, mfano kupitia familia yako, mavazi yako au tembea yako
Wahenga wanasema siasa...
Naulliza swali hili kwa msingi mkubwa.
Let us keep record, tuone baada ya miaka kumi kama hawa ma RC wanaoshabikia kutumbua watu na wao kutumbua watakuwa hata na nyumba ya kujenga kwa hela zao...
Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu.
Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali.
Ataunda uchunguzi wa karbu kila...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote...
Bismillah Rahman Raheem.
Mwenye kufahamu atujulishe ili labda kama zina neema yoyote basi tumuombee dua, ama kama ni vipeperushi vya ccm tuachane naye.
Wabhillah Tawfiq.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.