Mkurugenzi wa Chadema mh Mrema anamuuliza Masoud Kipanya " Wakati wa Maridhiano tukawa mbwa na Joka, Chaguzi Kanda malori ya mafuta yanafuata moto, Leo Basi limepasuka barabarani! What next? Au...
Ufafanuzi kuhusu Gawio ka TSH. Bilioni 153.9 lililoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa Serikali.
Katika Mitandao ya Kijamii na makundi sogozi, zinasambaa taarifa potofu...
Mohamed Kamal Ismail alikuwa mmoja wa watu muhimu nyuma ya upanuzi mkubwa wa misikiti miwili mitakatifu nchini Saudi Arabia.
Msanifu majengo wa Misri, aliyezaliwa mwaka 1908, alichaguliwa na...
Habari hii nimeisikia asubuhi hii kupitia RFA magazeti, mwenye taarifa atujuze ni nani ukizingatia kuna yule mwandishi wa kanda ya ziwa anayedaiwa kuandika sakata la mkuu wa mkoa kukamatwa na...
Wanataka uchaguzi huo usimamiwe na Tume ya Uchaguzi.
Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika hii hapa .
======
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimependekeza kuwa uchaguzi...
Duru za habari zimetangaza kuwa, kambi moja ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni karibu na Ukanda wa Ghaza imeteketea kwa moto baada ya kushambuliwa na wanamapambano wa Izzuddin al Qassam, Tawi la...
Safari ilianza Saa 12:01 na kufika Morogoro Saa 1:55
Hongera Rais Samia. Hongera Dr Mpango. RIP Shujaa Magufuli
========
Ilikuwa safari ya dakika 114 zenye bashasha, abiria zaidi ya 600 wakiwa...
Ama kwa hakika CCM ni chama cha michezo nchini, hususani mpira wa miguu. na huu ni mwanzo tu, katika jitihada za makusudi kuhamasisha na kuimarisha michezo kuanzia vijijini. 🐒
Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo.
Bado haijafahamika hasa...
Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais.
Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa...
Mimi nimetafakari sana kuhusu falsafa gani inaongoza Chadema hivi nikisema Chadema ina makundi na mikakati minne ya kimtazamo nitakosea. makundi hayo ni kundi la akina Lissu na Heche wanaoamini...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
---
Jeshi la...
Pamoja na kwamba anachoongea Azim Dewji ndio ukweli wenyewe ila haters wa Samia hawawezi kumuelewa.
Watu wapumbavu wataendelea kusema wakati wa Magufuli hakukuwa na Mgao ilhali wanajua kabisa...
Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima...
Sikuwahi kukubali baadhi ya matukio chini ya utawala wa Hayati Magufuli, lakini kwa pamoja tukubali Magufuli had what it takes to be the president of URT, alikuwa na sera thabiti za kiuchumi na...
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.