Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taifa letu ni shamba la bibi kwa baadhi ya familia na koo fulani. Katika kipindi hichi kuna koo, familia na baadhi ya watu fulani utajiri wao utaongezeka mara dufu yaani. Napenda kuwakumbusha tu...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi Hili inashangza na kufikirisha Sana...
26 Reactions
765 Replies
67K Views
Wahenga waliwahi kusema kuwa watu maskini wa fikra, mali na akili hujadili watu kwa mfano mzuri viongozi wa Chadema inadhihirisha kuwa ni watu wenye akili ndogo Sana utakuta mkutano una masaa 4...
3 Reactions
28 Replies
937 Views
Kwanza hana makandokando, anajua wathirisha hoja, anajua katiba yaani anajua anaochokifanya Mwamba anajua
7 Reactions
26 Replies
951 Views
Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa. Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa...
4 Reactions
10 Replies
678 Views
SOURCE: www.raiamwema.co.tz Mawaziri kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi Mwandishi Wetu Machi 26, 2008 SERIKALI inakamilisha taratibu za kuwashitaki mawaziri wa zamani wawili wanaotuhumiwa...
1 Reactions
86 Replies
12K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Ratiba ya Chadema kukomboa Majimbo yake yaliyoporwa na Dikteta Mwenda zake inaendelea. Sasa imeingia Arusha Mjini, ambako Taarifa zinaeleza kwamba shughuli...
5 Reactions
31 Replies
10K Views
31 May 2021 MASHA ANAONGEA : ALIYEIUA FAST JET, HOFU, ATCL WAFANYE NINI. Huyu ni Lawrence Masha, nguli wa Sheria na Mfanyabiashara. Aliwahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Waziri wa Mambo ya Ndani...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
BASHE:Sikuwahi kuwa member wa hii forum lakini nimeguswa na kuvutiwa kutokana na mjadala ambao umemhusisha Mbunge wangu MH HAMIS ANDREA KIGWANGALA (SAIDI NASSOR BAGAILE) sikutaka kujadili jambo...
5 Reactions
22 Replies
6K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye, Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya kuwa wepesi wa kusaidia...
1 Reactions
0 Replies
361 Views
"Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye...
2 Reactions
7 Replies
648 Views
Similarities Differences 1. Politically motivated Trump individual motivated, Lisu...
9 Reactions
59 Replies
12K Views
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi...
27 Reactions
56 Replies
4K Views
SEKTA YA MAJI YABAINISHA DHAMIRA YA KUTUMIA MAJI YA ZIWA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI Mpwimbe-Katavi Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali imeshatangaza tenda kwa ajili ya kumpata...
1 Reactions
2 Replies
595 Views
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji...
14 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Closed
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo...
61 Reactions
107 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…