Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naendelea pia kutafakari
4 Reactions
5 Replies
491 Views
Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea...
3 Reactions
12 Replies
559 Views
Changamoto ya Elimu Bure huko Zambia imepelekea maelfu ya Watoto kuongezeka shule huku miundombinu ya kuwahudumia ikiwa kidogo na duni na kupelekea Msongamano mkubwa kwenye vyumba vya madarasa na...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu? Refer issue ya Musiba.
16 Reactions
146 Replies
12K Views
Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya...
1 Reactions
131 Replies
13K Views
Kabla ya kuingia kwa kina kwenye uchambuzi huu, ni muhimu kueleza bayana kwamba japo maana, mbinu na ufanisi wa uchambuzi wa kiintelijensia ('intelligence analysis' kwa kimombo) kati ya mie...
26 Reactions
60 Replies
19K Views
Wataalam wa Masuala ya Ulinzi na Usalama pia wale Wanasheria nguli akina Pascal Mayalla na Jasusi Yeriko Nyerere naomba kuelimishwa Nimekaa pale, ahsante 🐼
0 Reactions
4 Replies
545 Views
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia...
19 Reactions
72 Replies
9K Views
Ruzuku ya Chadema inaeleweka hata kulipa Mishahara ya Watumishi wa Makao makuu haitoshelezi Sasa Fedha za kukaa na Chopa mwezi mzima wamezipata Wapi? Ufafanuzi tafadhali 🐼
2 Reactions
40 Replies
1K Views
Wanabodi, Angalizo: Great Minds hawadiscuss watu, wana discuss ideas na kutafuta solutions to the problems. Hili sio bandiko la kumsema mtu, bali ni bandiko la somo linaloitwa psychoanalysis...
21 Reactions
136 Replies
16K Views
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira...
7 Reactions
139 Replies
6K Views
Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya. Trust me akipita atakuwa...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa umiliki wa hizi Taasisi mbili WB na IMF Je Tanzania tuna Hisa huko? Nimekaa pale, ahsanteni 🐼
3 Reactions
7 Replies
447 Views
Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo (Nothing lasts longer), Bwana alitoa na...
18 Reactions
84 Replies
13K Views
Zikiwa zimepita siku 29 tangu kada wa Chadema, wilayani Handeni mkoani Tanga, Kombo Mbwana (29) adaiwe kupotea, hatimaye leo Julai 14, 2024 Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Zacharia Bernard...
3 Reactions
52 Replies
14K Views
Ukiangalia nchi ya Rwanda pamoja na udogo wake Mwaka 1994 ilipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe nchi Kila kitu kiliharibika miundo mbinu yote iliharibiwa lakini ni miaka 30 sasa Rwanda ni nchi...
9 Reactions
101 Replies
4K Views
Kichwa Cha thread ndio Taarifa inayojadiliwa zaidi Africa Mashariki Kwa sasa Gen Z wamejigawa kulingana na taaluma zao Ili kuilinda nchi yao ya asili waliyopewa na Mungu wa Mbinguni Ahsanteni 🐼
5 Reactions
19 Replies
952 Views
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Recent research confirms manufacturing has been immensely important to the prosperity of nations, with over 70% of the income variations of 128 nations explained by differences in manufactured...
1 Reactions
7 Replies
728 Views
Ndugu wananchi wenzangu! Kulipa kodi ni suala la kisheria. Lazima kila mwenye kipato alipe kodi. Tusiishie hapo. Twende mbali zaidi. Tujitolee bure kwa ajili ya Taifa letu wenyewe. Kujitolea sio...
2 Reactions
21 Replies
955 Views
Back
Top Bottom