Hao vijana waliolelewa na chama ni wazuri katika ushabiki wa chama na ni watoto wa vigogo wa chama ila uwezo wao wa kuwa Mawaziri katika wizara nyeti ni mdogo, watafutieni vitengo vingine ambavyo...
Imepita miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa...
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina...
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi.
Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana...
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
RAIS SAMIA, alikuja na falsafa ya 4Rs. Nape akampinga Rais kwa kauli isiyo ya wazi moja kwa moja. Lakini Nape ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, ambalo kazi yake ni kumsaidia Rais. Baada ya kauli...
Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli...
Mwanasaikolojia mashuhuri nchini Dkt. Elly amesema Afrika ndio Bara pekee ambalo Teuzi hufanywa kwa kuangalia Majina badala ya Weledi
Kwa mtindo huu kamwe Maendeleo hayatapatikana na Amani...
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live.
January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya...
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli!
Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii...
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo.
Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani?
Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli.
Me ni mwana CCM ili...
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma.
Miaka kadhaa...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni...
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani.
Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa.
Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi...
Prof. Ndalichako elimu yake haina mashaka hata kidogo, wengi wao tumemjuwa tangu akiwa kwenye elimu nadhani vijana wengi Tanzania hii vyeti vyao vina sahihi yake, huyo mama hawezi kuwa chawa WA...
KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025...