Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli.

Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini vijana hawa wawili Nape na January wakijiona wakamilifu na kujaribu kujitoa kwa kila hali iliyokuwa inaendelea. Swali la kujiuliza , Je kelele wanazopiga wangekuwa ni mawaziri wangeongea? Nakisia jibu lingekuwa ni hapana, wanafanya hayo kwa unafiki.

Naamini tarehe 30/04/2021 si mbali na kwa hakika ni siku ninayoisubiri kwa hamu kushuhudia unapokwenda kukabidhiwa rungu zito la kulishusha kwa wanafiki hakika mama nitakubali kila uamuzi utakaofanya au kuchukua kama mwenyekiti wa CCM ukipewa uenyekiti hususani kudhibiti harakati za hawa vijana.

Nakuomba siku ukipewa mamlaka hiyo itumie kujenga mfumo imara wa chama na kuacha mfumo wa mtu kujulikana kwa asili yake bali kwa utendaji wake nasi tutakuwa pamoja kwa kila hatua ndugu mwenyekiti mtarajiwa wa CCM.

Pia, ikikupendeza naomba miongoni mwao hao vijana asipewe hata mmoja nafasi ndani ya Chama ili kuwadhibiti na kuwaweka kwenye uangalizi mkubwa. Watu wenye kariba ya mzee Mangula ndio watawamudu hao vijana ambao ni tishio la mgawanyiko na makundi ndani ya chama.

Pia, ndugu mwenyekiti mtarajiwa tunaomba tuletewe watu wenye kariba ya mzee Mangula kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa CCM .
 
Nape na January ndio kimbilio letu mwaka 2025, hata mother anakuja hilo
 
Mataga uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kweli kweli. Yaani mtu unakaa chini kuandika uzi wa kumshauri Rais awadhibiti January na Nape Kwa kuwa tu wameamua kuukataa unafiki na kuisimamia kweli. Mnatakiwa mkumbuke tu, Hii sio awamu inayoendeshwa na mihemko ya kusifu kuabudu kama mlivyokuwa mmezoeshwa huko tulikotoka
 
Ukiwaangalia vizuri hao jamaa ni watu wanaotafuta madaraka kwa nguvu sana, wameshajiona wako juu wanastahili kikubwa zaidi ya wenzao, siasa za kurithishwa zimewafanya wajione wana hatimiliki ya uongozi serikalini.

Kwani ukiwaacha wanapiga kelele mpaka koo ziwakauke utakuwa umekosa nini? Siamini katika hawa jamaa kabisa. They dont offer best leadership options at all.
Lakini Mwenyezi Mungu ni fundi kweli kweli. Anawapangua step by step. Watu wasio na agenda za makundi ndio wanasogea mbele
 
Ukweli mchungu atakayemsumbua mama Samia ni joka la mdimu MWIGULU LAMECK NCHEMBA.

Huyu dogo anautaka urais kwa udi na uvumba.

YUPO TAYARI KUUA, KUSEMA UONGO ILIMRADI APATE MADARAKA.

Ref: -MAUAJI YA ARUSHA
  • 2015 KUHONGA WASANII WA INJILI ILI WATUNGE NYIMBO ZA KUWA YEYE NI CHAGUO LA MUNGU
  • 2015 KUHONGA WACHUNGAJI NA WASANII WA INJILI ILI AWE ANAPATA MIALIKO YA UZINDUZI WA ALBAMU NA HARAMBEE ZA UJENZI WA MAKANISA.
-2015 KUTOA HELA KWA WACHORAJI ILI WAPITE TANZANIA NZIMA KWENYE MAWE NA MADARAJA KUANDIKA KUWA YEYE ANAFAA KUWA RAIS.
-2020 KUMDANGANYA RAIS KUHUSU CORONA MATOKEO RAIS NA KIJAZI WAMEKUFA NA NCHI KUTENGWA KIMATAIFA.
 
Nchi ina baadhi ya watu WAPUMBAVU sana kama mleta uzi. Nape anakosa gani? Chini ya SHUJAA nchi ilifika kubaya sana, Nape akiwa Waziri anatolewa bastola na WAHUNI wa Bashite na hakuna hatua zozote! Badala mumshauri Mwenyekiti achukue hatua za kiucunguzi wa uharamia ule, nyie mnataka adhibitiwe!
 
Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli.

Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini vijana hawa wawili Nape na January wakijiona wakamilifu na kujaribu kujitoa kwa kila hali iliyokuwa inaendelea. Swali la kujiuliza , Je kelele wanazopiga wangekuwa ni mawaziri wangeongea? Nakisia jibu lingekuwa ni hapana, wanafanya hayo kwa unafiki.

Naamini tarehe 30/04/2021 si mbali na kwa hakika ni siku ninayoisubiri kwa hamu kushuhudia unapokwenda kukabidhiwa rungu zito la kulishusha kwa wanafiki hakika mama nitakubali kila uamuzi utakaofanya au kuchukua kama mwenyekiti wa CCM ukipewa uenyekiti hususani kudhibiti harakati za hawa vijana.

Nakuomba siku ukipewa mamlaka hiyo itumie kujenga mfumo imara wa chama na kuacha mfumo wa mtu kujulikana kwa asili yake bali kwa utendaji wake nasi tutakuwa pamoja kwa kila hatua ndugu mwenyekiti mtarajiwa wa CCM.

Pia, ikikupendeza naomba miongoni mwao hao vijana asipewe hata mmoja nafasi ndani ya Chama ili kuwadhibiti na kuwaweka kwenye uangalizi mkubwa. Watu wenye kariba ya mzee Mangula ndio watawamudu hao vijana ambao ni tishio la mgawanyiko na makundi ndani ya chama.

Pia, ndugu mwenyekiti mtarajiwa tunaomba tuletewe watu wenye kariba ya mzee Mangula kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa CCM .
Naunga mkono hoja, mama anatakiwa kuwa nao makini sana hao, tena hotuba ya mama bungeni walikuwa hawaitarajii. Mama kaonesha kuendeleza mazuri yaliyoachwa, kwenye report uchwara ya CAG walikuwa wanayapiga vita sana
 
Back
Top Bottom