Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,741
15,214
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.

Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.

Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.

Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu.

Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.

Wote wamefail vibaya.
 
Umeandika vizuri ukweli ni kwamba kwasasa hapa hakuna Rais zaidi ni bomu Tena la kienyeji.taarabu nyingi vitendo zero. Huwezi kupewa heshima na mungu ya kuongoza Watanzania halafu ukaishia kuwafilisi kwa kula starehe. Ondoka tuachie nchi yetu bana
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo
Toeni ujinga hapa, si mlisema sijui Marais huandaliwa tokea shuleni mara sijui Upinzani hauwezi pewa nchi maana sio wazalendo na kelele zingine sijui TISS ina imani na CCM pekee. Sasa leo mbona mmefeli mnalialia? Mlisema CHADEMA ndio waliwachelewesha leo hii mmepewa halmashauri zote, majimbo yote, kata zote, mitaa yote ila bado mnalialia sasa hiyo 2025 mtawaambia nini wananchi wenye hasira kali?
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Nikajua utaweka miradi na mambo nmengine kumbe unaongea pumba tuu.

Nitajie fisadi hata mmja ambae aliwahi fungwa na Serikali ya Magufuli.

Samia amefunga bosi wa UDA,amemfunga DED mwisho wa Arusha wote hao walikuwa wezi na wanalelewa na Magufuli.

Amemshikisha Adabu Sabaya and the likes.

Mwisho kabisa Kwa miaka 3 ya Samia Mapato ya TRA yameongezeka kutoka 1.4T mwaka 2020/21 Hadi 2.2Tr mwaka 2023/2024.

Kiufupi Samia kaongeza bil 800 ndani ya miaka 3 wakati Mwendazake aliongeza Bilioni 500 tuu Kwa miaka 5.

Mpaka hapo ni sahihi kabisa kusema Samia ni mlima.na yulekurupukaji ni kichuguu.

View: https://www.instagram.com/p/C1h1XRQo_Dc/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo.
Rais Samia amefanya semina nyingi kwa mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wakuu wa mikoa lakini bado utendaji wa serikali yake uko duni sana! Matokeo baada ya semina hizo hayaonekani kabisa.
Rushwa, uzembe, mfumuko wa bei, kupandisha gharama za miradi, kuchelewesha miradi imekuwa ndiyo sifa kuu ya serikali ya Rais Samia.
Hayati Magufuli alijenga majengo ya wizara na kuhamishia serikali yote Dodoma ndani ya miaka 3 lakini Rais Samia kwa miaka 3 hakuna jengo hata moja lililokamilika kiasi cha kuanza kukaliwa na watu. Kwenye serikali ya Samia hamna mradi hata mmoja ulioanzishwa unaoweza kusema kwamba angalau hapa Kuna watu walikaa na kutumia akili.
Rais Samia amefanya vizuri sana kwenye ujenzi wa madarasa kwa kutumia mkopo wa fedha za Uviko.
Acha UONGO kwani baba yako Magufuli aliyaacha hayo majengo yamekamilika ???

Rais Samia ame/ ana pambana na SGR , barabara, meli, ndege , daraja la Tanzanite kamalizia, daraja la busisi anakamilisha na mambo mengine mengi.

Sema mwendazake aliwaroga sana kwa kelele zake na show off kitu ambacho Samia hataki.

Ukifuatilia vizuri kwa jicho la usawa bila chuki basi Samia amefanya mengi mazuri.

Shida ninayoiona kwa Samia ni hali ngumu ya maisha kwa watu wa hali ya chini hasa vijijini.
 
Back
Top Bottom