Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume. Sasa hivi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa...
4 Reactions
9 Replies
761 Views
Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi Pia soma: Malisa aripoti...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Wakati fulani Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema kuwa ndani ya chama chao kuna uhasama kiasi kwamba viongozi wa chama hicho wakitoka kwenda msalani kama alikuwa na wenzake...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao...
6 Reactions
12 Replies
830 Views
Ningependa sana Waziri wa Utawala Bora wa Tanzania akakopa hii " Life Style" audit kutoka Kenya na kuwapima hawa Mawaziri wetu Wakenya Sasa wanamtaka Rais Ruto kuagiza Taasisi ya kuzuia Rushwa...
3 Reactions
17 Replies
822 Views
MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu mwanajf, kwenye mada hii unakaribishwa kuelezea kitu chochote unachoona hukitaki kama ambavyo mimi sitaki haya: 1.Sitaki Serikali inayosahau ahadi zake kwa wanachi kama; Maisha bora kwa...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi Toa Maoni yako . "President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 &...
77 Reactions
321 Replies
16K Views
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Ifakara ameandikia Barua Walimu wa shule kutaka walipe mchango wa kufanikisha shughuli za Mwenge. TAMISEMI mmeagiza Halmshauri kufanya hivi? Huo Mwenge hauna bajeti...
12 Reactions
128 Replies
8K Views
Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki. Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha...
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Kuna mambo Mawili muhimu sana, Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
25 Reactions
155 Replies
10K Views
Wanaoamini katika Biblia kwamba ni kitabu kitakatifu hakuna sehemu inasisitiza kuwa dini ya mtu kwa maana ya haya madhehebu itamfikisha mbingu bali wale wote wenye moyo safi na wacha Mungu Na...
2 Reactions
2 Replies
607 Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili...
7 Reactions
104 Replies
5K Views
Back
Top Bottom