Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake.... Washindwa wengi ndio huwa wa kwanza kunyoosha vidole vya lawama, kejeli, matusi, dharau nknk...
Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta...
Tuhuma kuwa ndani ya Chama cha CHADEMA Kuna taasisi imeundwa inaitwa Mbowe Foundation lisichukuliwe kuwa ni Jambo la kisiasa, Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo wa kuongoza nchi, sio...
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara...
Shalom,
Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe
Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe...
https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/
Heshima kwenu wakuu wenzangu
Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
unadhani ni zipi hasa sababu za msingi za kutokukubalika na kuaminika kwa upinzani vijijini?
kwa ujumla wanapuuzwa sana vijijini, kwa mfano jimboni kwangu hawapo kabisa.
sidhani kama wanaweza...
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya...
Leo katika amka na BBC mmiliki wa ndege za Fastjet Masha ambaye ni kada wa CCM kwa sasa amelia na mamlaka za anga Tanzania kwa kunyimwa vibali vya kuingiza ndege mpya.
Pamoja na katazo hilo...
Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri...
Hawa ni lile kundi la 4% linalotumiwa na 1% kuwakandamiza 5% wasithubutu kuwaamsha 90% waliolala usingizi wa pono..ili wasijue haki zao nchi iendelee kuneemesha kundi la wachache.
a) Wahandisi...
CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .
Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na...
Imani za kishirikina zimekuwepo sana kwenye chaguzi zetu kuu. Sana.
Huu ni mwaka uelekeo wa uchaguzi Mkuu 2025. Kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuibwa na kuuawa. Mara nyingi sana tunasoma...
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku...
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi...
Salaam, Shalom!!
Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.