Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco?
Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili...
Dah!
Mpaka naona kizunguzungu.
Tengua teua hizi nyie mnaziona ni jambo la kawaida tu kuongoza nchi?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya...
Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni.
Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki...
Waungwana hamjambo,?
Naomba niende kwenye hoja Yangu
Hivi karibuni kuliibuka maigizo ya mheshiwa Nape Nauye mbuge Wa Mtama kwenda kuomba msamaha kwa Mh Rais Magufuli, binafsi nilipenda hali ya...
Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point.
Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya...
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta...
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na...
Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio.
Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia...
Kwanza kabisa lazima tujiulize je serikali hii ina mpango wa kupunguza matumizi yasiyo na ulazima wowote au yenyewe Haina huruma na pesa za walipa Kodi, Kwasababu action za serikali zinaitia...
Nimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana...
Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi.
Wapo wenye dola...
Yeye mwenyewe anatuambia kuwa POSTA MASTA aliyekuwapo anafanya kazi nzuri sana. Macris Mbodo ameifanya Tanzania Posts Corporation kuwa mbele kuliko mashirika ya Posta yaliyo mengi katika bara la...
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari
Ijumaa, Aprili 12, 2024
3:30 Asubuhi
Ukumbi wa TTCL, Jengo la TTCL, Ghorofa ya 12, Barabara ya Samora, Dar es Salaam...
Nipo TAYARI kukosolewa kivyovyote
Mimi sifi Leo niliwahi kuwa kiranja wa nidhamu, nikawa Waziri wa Habari na Nahusiano pale Aza boy, nikawa mkurugenzi wa GAZETI pale pale, nikawa Makamu wa...
Haya si Maneno yangu, ni Maneno ya Dkt Slaa
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanayofanywa na Rais Samia Suluhu...
Kwenye masuala ya uongozi kuna kanuni moja muhimu sana isemayo ' usitake kumfunika boss wako'.
Kwa kingereza wanasema 'never outshine your master', anayekuapisha daima ni mkubwa wako wa kazi hata...
Halina ubishi teuzi zote za akina Nape Nnauye, Makongoro Nyerere, Januari Makamba, Ridhiwani Kikwette, Halima Bulembo, Maharage Chande, Vita Kawawa na wengineo wengi zilikuwa ni kulipa fadhila kwa...
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!
Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu...
Alianza kuondoa wataalamu bobezi, kwenye uongozi Tanesco!
Akaweka Maharage kwenye uongozi Tanesco!
Akaondoa wataalamu wa fani kwenye Bodi Tanesco!
Akawaweka kina Bakhressa Jr, kwenye Bodi mpya ya...