Nani anafahamu kampuni au ofisi inayomilikiwa na Nape au Makamba? Kama hawana ofisi watakubali kuishi bila kazi ya uteuzi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
1,009
4,674
Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni.

Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki kampuni na ofisi kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kipindi hiki ambacho wametambuliwa.

Kukosa ajira ya kudumu kwa wanasiasa kunapelekea waendelee kuwa Chawa na kuishi wakiomba msamaha kama vijana wasio na ajira.

Tumeona namna Msigwa anavyoteseka mtaani kwa sasa, tuliona namna Nape alivyozunguka hadi kwa mama Maria Nyererr akisubiri kuombewa msamaha......mazingira haya yanawadumaza wanasiasa wetu na kuwaaminisha wao wamezaliwa kuongoza watu ni siyo kuajiri watu

Niwapongeze akina Bon Yai, Sugu, Lema, Mbowe nk kwamba wameajiwekeza na kuhakikisha familia zao zinaweza kuishi nje au ndani ya siasa.

WANASIASA ONDOKENI HUKO KWENYE TEUZI TAFUTENI OFISINI ZENU MTAKAZOINGIA MKIWA LIKIZO YA kisaia au mkufutwa kazi. You need to have an executive office which will give u challenge and create busines mind on you

Tuachane na slogan yakuhubiri umasikini inatufanya tusiwe wazi kwenye mazingira ya kibiashara.
 
Tofauti na huku afrika kule ulaya na marekani.

Mtu anaingia kwenye siasa baada ya kupata mafanikio kwenye taaluma, biashara yake.

Yaani anapimwa kwa mafanikio ambayo tayari anayo.

Anachokileta ni mbinu za mafanikio yake kama mchango wa kulikuza Taifa.

Kwa afrika, namna unavyojipendekeza kwa wakubwa ndivyo unavyojisogeza kwenye nafasi kubwa za kisiasa.

Mafanikio utayapata huko kwenye siasa.

Mfano Zito kabwe hajawahi ajiriwa popote toka anamaliza chuo mpaka sasa.

Mpaka anakuwa na chama chake .

John Mnyika, sina kumbukumbu za kuajiriwa popote tangia anamaliza chuo.

Hivyo basi Afrika lazima idumae kwakuwa utumishi wa uma ni kama.kijiwe tu cha kunufaisha watu badala ya kuwa change cha kulijenga Taifa.
 
Nape...mtama wilayan
Makamba...bumbuli wilayan
Ofisi ya pamoja, dodoma
 
Back
Top Bottom