wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 249
- 669
Nimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana ujasiri.
Kwa Tanzania suala la mandamano halina kipaumbele kabisa, Vijana bado ni waoga, wengi hawajaelimika, n.k. Maandamano ni kitu chenye uhuitaji mdogo sana kuliko liufatilia mpira.
Kusema kwamba Tanzania na Uganda mapolisi wa kutuliza ghasia ni hatari kuzidi Kenya ni uongo, wakenya wana umoja, ujasiri na kuandamana kwa wingi wanajenga kitu kinachoogopwa zaidi na serikali kinachoitwa "Nguvu ya umma"