Katika kuelezea ubadhirifu ambao umebainishwa katika ripoti za CAG, Mbunge Luhaga Mpina ataka hatua zichukuliwe dhidi ya viongozi ambao wanahusika na makosa yao. Hii ni pamoja na kuwawchukulia...
Naweka tu kumbukumbu sawa kwamba Paul Makonda katika Wasifu wake wa kikazi hajawahi kutumbuliwa
Ni hilo tu Ili kupunguza upotofu wa Taarifa
Ahsanteni 🐼
MSHAURI wa RAIS Siasa, Mheshimiwa Abdalah Bulembo jitokeze hadharani kumtetea Januari Makamba baada ya kutumbuliwa na Rais Samia kama ulivyofanya kipindi kile alipolipuliwa na Luhaga MPINA kuhusu...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba...
Wabunge wa viti maalumu Dkt Bashiru Ally na Oliva Semuguruka wameungana na kufanya mkutano wa hdhara uliofanyika katika manispaa ya Bukoba.
Wabunge hao wameitisha mkutano huo kwa lengo la...
Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba.
Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama...
Mmetumia nguvu nyingi kutaka kupata kura za wananchi ili kujijengea maslahi yenu lakini Wabunge wilaya ya Lushoto hamjawahi kushirikiana kujenga wilaya yenu.
Maeneo mengi hayana maji wala...
Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia...
Na. M. M. Mwanakijiji
https://youtu.be/R6TiVOZZZj4?si=iM4J0sv3gbtjSNmI
Waliitwa vijana...nakumbuka walipotumbuliwa nilisema ni ujana tu unawasumbua. Nikasema warudishwe labda wamejifunza. Tukaseme...
Salaam, hongera Kwa Uchapakazi murua. Twende haraka kwenye mada.
Tuliambiwa hata baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kukamilika, bado Bei za umeme zitaendelea kuwa pale pale.
Naamini wewe ni mmoja...
Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni
1. Utekaji
2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria
3. Viongozi...
Inasemekana CHAUMMA, CHADEMA, CUF, Sauti ya waTanzania na ADA-TADEA wameanza tayari mazungumzo ya awali yasiyo rasmi.
Mazungumzo rasmi ya kimkakati yanaeledea kuwekwa utaratibu mzuri na waleta...
Hili halina ubishi, Wizara ya nishati chini ya Waziri Makamba na Byabato wameliingiza taifa kwenye hasara kubwa sana.
Hawakuridhika, walipokuwa Mambo ya Nje wamefanya madudu mengi, ni muda sasa...
WAZIRI AWESO AANZA ZIARA YA MOROGORO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji...
Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z.
Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha...
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo.
Mashirika aliyofanya Nape...
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola...
Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated).
Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea...
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.