Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

downloadfile-149.jpg
 
Wamnyime tu Mzee ana miaka 80+ lakini ana mawazo mgando kama yuko 30s anaona wapinzani kama maadui wa Taifa, mauaji yamegokea oktoba 29 yuko bize anakazana kutafuta mchawi wakati sababu zipo hajutii wala kushauri chama chake kichukue hatua ya kuwajibika
 
Back
Top Bottom