Watu 1,000 influential katika Taifa la Tanzania

Watu 1,000 influential katika Taifa la Tanzania

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,166
Reaction score
47,883
ORODHA YA WATU 1000 MASHUHURI TZ + WAPIGANIAJI MABADILIKO

1. Viongozi & Mashujaa wa Historia ∼80

Mwalimu Julius Nyerere, Abeid Karume, Rashid Kawawa, Oscar Kambona, Bibi Titi Mohamed, Edward Sokoine, Mkwawa, Kinjeketile Ngwale, Abushiri, Meitamei Dapash, Pendo Mugyabuso.
+ Wapiganiaji wa mtaa: Majina yao hayajaandikwa vitabuni lakini walipigania ardhi, haki za wafanyakazi, Ujamaa vijijini. Kila kijiji kina “mzee mwenye msimamo”.

2. Wanasiasa wa Sasa ∼100
Tundu lissu , Kassim Majaliwa, January Makamba, Hussein Bashe, Angellah Kairuki, Jenista Mhagama, Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,John Heche.Tundu A lissu,Emmanuel Nchimbi, Godbless Lema

+ Wanaharakati wa mtaa: Viongozi wa vitongoji, viongozi wa vyama vya vijana, walimu waliogoma kwa haki za walimu. Watu kama “Mwl. Juma wa Sengerema” aliyepigania shule.

3. Wasanii wa Bongo Fleva ∼200
Diamond Platnumz, Ali Kiba, Harmonize, Nandy, Zuchu, Rayvanny, Dulla Makabila, Lady Jaydee, Professor Jay, Juma Nature, Roma mkatoliki , Lava, Chid Benz, Fid Q, P funk majani, Ney wa mitego,
+ Wasanii wa mtaa*: Vijana wa studio za mtaani DSM, Mwanza, Mbeya. Wanatoa nyimbo za kuamsha vijana kuhusu rushwa, ajira, haki. Majina yao ni “MC wa Kijitonyama”, “Poeta wa Tabata”.

4. Waigizaji & Wabunifu wa Filamu ∼120
Steven Kanumba †, Wema Sepetu, Vincent Kigosi, Lulu Elizabeth Michael, Idris Sultan, Jacob Steven, Blandina Chagula, Gabo zigamba
+ Waigizaji wa mtaa: Vijana wa YouTube/TikTok wanaofanya skit za kuhamasisha usafi, kupinga ukatili wa kijinsia. Kama “Timu ya Vijana wa Kinondoni”.

5. Wanasoka & Wabingwa ∼120
Mbwana Samatta, Simon Msuva, Erasto Nyoni, Aishi Manula, Filbert Bayi, John Stephen Akhwari, Zakia Msabila, Alphonce Simbu, Edbir Lunyamila
+ Mashujaa wa mtaa*: Kocha wa timu ya mtaa, binti anayekimbia asubuhi kumshawishi msichana asiachishe shule, vijana wa “usafi wa mtaa”.

6. Waandishi, Waelimishaji & Wafikiriaji ∼100
Shaban Robert, Euphrase Kezilahabi, Penina Muhando, Prof. Issa Shivji, Walter Bgoya, Adam Shafi, Anna Tibaijuka, Maxcence Melo
+ Walimu wa mtaa: Mwalimu anayefundisha bila malipo jioni, dada anayefundisha watoto kusoma kibarani. Wao ndio walimu 1000+ wasiojulikana.

7. Wafanyabiashara & Wajenzi wa Taifa ∼100
Mohammed Dewji, Rostam Aziz, Bakhresa, Reginald Mengi †, Aunali Rajani.
+ Wajasiriamali wa mtaa: Mama lishe, mama bodaboda, kijana wa kubandika vioo, fundi umeme. Hawa ndio uchumi halisi wa Tanzania. Ni 100,000+ wasiojulikana.

8. Madaktari, Wauguzi & Wanasayansi ∼80*
Dr. Gertrude Mongella, Dr. Asha-Rose Migiro, Prof. Yunus Mgaya.
+ Wauguzi wa mtaa: Dada wa zahanati, mkunga wa kijiji, CHW anayetembea nyumba kwa nyumba wakati wa Corona. Wao ndio waliookoa maisha.

9. Wanaharakati & Wapiganiaji wa Haki ∼100 - Wengi ni “Anonymous”*
Tundu Lissu, Maria Sarungi, Maria Tsehai, Maxence Melo, Tito Magoti, Britanicca, Nyani ngabu,

+ Vijana 1000+ wasiojulikana: Wanapiga picha ya barabara mbovu, wanaandika Twitter kuhusu maji, wanapanda miti shuleni, wanasaidia watoto yatima. Hawana blue tick lakini bila wao mabadiliko hayapo.

10. Viongozi wa Dini & Jamii ∼50
Sheikh Ponda Issa, Askofu Bagonza, Mzee wa Kijiji, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa.

Ukweli Muhimu:
Tanzania ina watu 1000 mashuhuri tunaowajua. Lakini ina mamilioni ya watu “anonymous” ndio nguzo halisi ya mabadiliko:
1. Mama anayefundisha mtoto kusoma taa ya petromaxi
2. Kijana anayefagia mtaa bila kulipwa
3. Mwalimu anayenunua chaki kwa mfuko wake
4. Boda anayempeleka mama mjamzito hospitali usiku

Wao ndio “1000 wa kweli” wa kuhamasisha mabadiliko kama wanataka Ila baadhi hawajui nguvu yao

Britanicca
 
Usisahau na wale wafanya biashara mtandaoni walioniagizia pikipiki ya kuchaji kutoka dar es salaam to kigoma,,,, wale ni wapambanaji walikuala hela yangu sema uchawi siujuw ningewaumiza
25ae1e58-981d-497d-b7f8-dd2fa5898420-1_all_234.jpg
 
Tafuta kazi ya kufanya acha kuwaza mambo ya kupuuzi utakuja kuwa mwehu
 
Waelimishaji & Wafikiriaji ∼100
Shaban Robert, Euphrase Kezilahabi, Penina Muhando, Prof. Issa Shivji, Walter Bgoya, Adam Shafi, Anna Tibaijuka, Maxcence Melo
+ Walimu wa mtaa: Mwalimu anayefundisha bila malipo jioni, dada anayefundisha watoto kusoma kibarani. Wao ndio walimu 1000+ wasiojulikana.
March 2026
Johannesburg,
South Africa

In Conversation with Gertrude Mongella on State of Democracy in Tanzania after 29 October 2025 elections, Women, Africa and UN.

View: https://m.youtube.com/watch?v=MPUWgni4SD4
161 Likes. 49,277 Views

Gertrude Ibengwe Mongella is a Tanzanian politician who was the first president of the Pan-African Parliament and was president of the African Union Commission from 2003 to 2008.

Chapters:
Source : African Renaissance Podcast
 
Waelimishaji & Wafikiriaji ∼100
Shaban Robert, Euphrase Kezilahabi, Penina Muhando, Prof. Issa Shivji, Walter Bgoya, Adam Shafi, Anna Tibaijuka, Maxcence Melo
+ Walimu wa mtaa: Mwalimu anayefundisha bila malipo jioni, dada anayefundisha watoto kusoma kibarani. Wao ndio walimu 1000+ wasiojulikana.
TOKA MAKTABA

02 Aug 2019
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH :
Ambassador Nicholaus Alfred Kuhanga is a Tanzanian Educationist and a former Diplomat. On Zimbabwe Case , Sadam Hussein case... plea to Mwalimu as an authority, Gift of Oil from Iraq that never materialised..Frontline States in Southern Africa..

View: https://m.youtube.com/watch?v=FN9JqkbCjt0

Amb. Nicholaus Alfred Kuhanga served as the minister of Education in the Mwalimu Julius Nyerere governments and also is the former vice Chancellor of the University of Dar es salaam.Currently,He works as a consultant on Higher Education for the Tanzania Commision for Universities (TCU).In this interview,Ambassador Kuhanga shares his personal recollections of Mwalimu Julius Nyerere as a statesman and as a friends.

Amb. Nicholas Kuhanga, Honorary Doctor of Education​

1790088008314.png

Ambassador Nicholas Kuhanga is one of modern Africa’s leading educational pioneers, a political leader and diplomat. As a young man, Kuhanga was inspired by Julius Nyerere who, as the United Republic of Tanzania’s first president (from 1964-85) and a fellow teacher, identified the need for adult education in a country in which many had grown up during the colonial period without formal schooling.

Kuhanga joined the University of Dar es Salaam and was a leader in the implementation of a network of regional learning centres across the country that could be accessed by anyone without previous schooling. He was also elected to Nyerere’s government, serving as a member of parliament from 1965-80.

He held the posts of minister of manpower development and minister of education, during which time a campaign was launched to provide schools for all Tanzanian youth.

In 1980, Kuhanga was named vice-chancellor of the University of Dar es Salaam and oversaw a decade of program expansion. Kuhanga then became the founding vice-chancellor of the Open University of Tanzania and he was an advisor to more than a dozen universities in Tanzania and Africa. He was named Tanzania’s ambassador to what is now known as the Democratic Republic of Congo from 1991-95. He is the father of eight children, one of whom resides in Victoria
Source : UVic news - University of Victoria

28 Julai 2025

MKUU WA TEWW AMTEMBELEA BALOZI NICHOLAS KUHANGA​

MKUU WA TEWW AMTEMBELEA BALOZI NICHOLAS KUHANGA

28th Jul, 2025
MKUU WA TEWW AMTEMBELEA BALOZI NICHOLAS KUHANGA

Na Emmanuel Sanira - TEWW

Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga mwishoni mwa wiki (Julai 11, 2025) alimtembelea Mhe. Balozi Dkt. Nicholas Kuhanga nyumbani kwake Bunju, jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali na kujifunza masuala mbalimbali yahusuyo elimu hapa nchini, hasa chimbuko la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima.

Balozi Kuhanga (93) aliwahi kuwa Waziri wa Elimu mwaka 1978 kabla hajateuliwa kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – UDSM (1980 – 1988); na Balozi wa Tanzania katika nchi ya Kongo (1991 – 1992).

Wakati wa mazungumzo yao, Mhe. Balozi Kuhanga alimshukuru na kumpongeza Prof.
Sanga na ujumbe wake kwa kumtembelea na hasa kuendeleza juhudi za utoaji wa elimu ya watu wazima nchini.

Kiongozi huyo mwandamizi wa serikali mstaafu alimweleza Prof. Sanga na ujumbe wake
kuwa akiwa Waziri wa elimu alijitahidi kuinua elimu ya watu wazima nchini hadi aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati huo, Hayati Mwalimu Julius Nyerere akampa nishani ya kutambua mchango wake katika sekta ya elimu ya watu wazima.

“Wakati ule, Hayati Mwalimu Nyerere akitoa hotuba ya kuhimiza elimu ya watu wazima nchini aliona vyema kunipa nishani ya kutambua kazi na mchango wangu wa kuinua elimu ya watu wazima hapa nchini, na nawapongeza sana kwa kazi mnayoifanya,” alisema Balozi Kuhanga.

Pia, Balozi Kuhanga aliupongeza uongozi wa Wizara ya Elimu chini ya Prof. Adolf Mkenda kwa mageuzi makubwa katika mitaala ya elimumsingi nchini. Kuhusu mageuzi ya mitaala, Balozi Kuhanga aliishauri TEWW kuangalia namna ambavyo elimu ya watu wazima inapaswa iwe ili kuendana na mahitaji ya jamii ya sasa.

Kwa upande wake, Prof. Sanga alimshukuru Mhe. Balozi Kuhanga kwa mchango wake mkubwa kwa Taifa, na alisema utumishi wa Balozi Kuhanga kwa umma unayo mengi ya kujifunza ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa bidii na uadilifu mkubwa. Aliongeza kwa
kusema kuwa maarifa waliyoyapata kwake yatasaidia kuboresha utendaji kazi na kuinua
zaidi sekta ya elimu ya watu wazima na elimu nje mfumo rasmi nchini.

Kufanyika kwa ziara hii ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya TEWW yanayotarajiwa kufikia kilele chake Agosti 25 – 27 mwaka huu, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam kwa Kongamano kubwa lenye kauli mbiu ya “Elimu bila ukomo, kwa maendeleo endelevu

OBITUARY

Nicholas Kuhanga has died aged 93. Dar es Salaam on September 19, 2026. Born on April 28, 1933, in Peramiho Abbey Songea, Ruvuma Region, Tanzania
1790088246466.png
 
Back
Top Bottom