Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima sana wanajamvi, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata. Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha...
2 Reactions
4 Replies
330 Views
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na...
16 Reactions
172 Replies
19K Views
TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO. Wasalaam wana JF. Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa "Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana...
17 Reactions
148 Replies
16K Views
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi. Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime...
21 Reactions
208 Replies
25K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa...
23 Reactions
468 Replies
47K Views
Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma...
16 Reactions
381 Replies
37K Views
KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni...
18 Reactions
364 Replies
32K Views
Kwa lugha rahisi, kiapo ni ahadi rasmi, tena mbele ya ushahidi wa Mwenyezi Mungu juu ya matendo yako na tabia zako kuanzia siku hiyo ya kiapo. Kwa ndugu zangu wakristo kama alivyo mheshimiwa JPM...
32 Reactions
72 Replies
6K Views
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa...
34 Reactions
479 Replies
54K Views
Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
GWAJIMA AZIDI KUHARIBU, DHARAU KWA BIBI KIDUDE NANI ATAZIVUMILIA? Na, Robert Heriel Mwanzo nilisema Gwajima ni Mbaguzi na mdini, sikuwahi kudhani anaudhaifu mwingine wa kudharau watu ambao hata...
36 Reactions
133 Replies
15K Views
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Jumamosi, Julai 11, 2020 jijini Dodoma, Wajumbe 1,846 wanatarajiwa kushiriki. Mkutano huo unongozwa na...
16 Reactions
393 Replies
37K Views
Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano...
13 Reactions
935 Replies
76K Views
Mkutano Mkuu wa jimbo la vunjo umempitisha Dkt. Augustino Lyatonga Mrema ambaye ni Mwenyekiti wa TLP taifa na mwenyekiti wa bodi ya parole taifa, uliofanyika Njia panda, Himo kugombea ubunge kwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jimbo la Kawe limekuwa likiongozwa na CHADEMA kwa zaidi ya miaka kumi sasa chini ya Mbunge Halima Mdee. Ki ukweli pasi na shaka yoyote sijaona juhudi zozote za Mbunge kupeleka hoja yoyote Bungeni...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
*WASIFU WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KWELA -RUKWA 2020* Jina Deus Clement Sangu mzaliwa wa kijiji cha Laela wilaya ya Sumbawanga (V) mkoa wa Rukwa. *SIFA ZA KITAALUMA* 1. Shahada ya...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah! Amesema watanzania hawataki viongozi...
16 Reactions
483 Replies
40K Views
Dr bashiru aahaidi kumtoa madarakani Zitto Kabwe ====== Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kinajipanga kuibuka na ushindi wa ubunge katika jimbo la...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Back
Top Bottom