Rais Ruto kaalikwa huko Ufaransa kwenye mkutano wa G7.
Mwingine kutoka Afrika ni El-Sisi wa Misri.
Anaishia kwenda kwa Putin ambaye naye anahangaishwa na kanchi kadogo tu, Ukraine.
Hata Kenya...
Musukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika.
Musukuma: Robo tatu ya Wachimba madini Geita ni...
Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua...
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'.
Soma...
RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani...
Tulikofikia Wazanzibar wataanza kutuchukulia poa sana hasa hasa kipindi cha Rais wa kutoka kule
Kuna speech ya Nyerere inatembea sana mitandaoni yenye maudhui kwamba yeye (Nyerere) ndiye...
Serikali ya Tanzania inategemea kukusanya na kutumia takribani Trilioni 61.9 Kwa mwaka wa fedha ujao wa 2026/2027.
Bajeti hii itaongezeka Kwa Trilioni 7 kutoka Trilioni 55 zaidi ya Bajeti ya...
KESI YA MFANYABIASHARA BASIL AENDELEA KUSOTA BUTIMBA
Kesi inayomkabili Mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza nyavu cha Nyamagara Fishing LTD cha jijini Dar es salaam, Basil Kyando...
Hamjambo!
Moja ya athari za kupotea kwa Humphrey Polepole ni kuwadogodesha hata wale waliowahi kufikiri ni wakubwa ndani ya CCM iwe kwa nafasi walizowahi kuzishika au wanazozishika hivi sasa.
Ni...
Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio...
Pima mzani utapata majibu nani mjanja👇
============
Rais wa Kenya, William Ruto, amewasili nchini Ufaransa ili kuungana na viongozi wengine wa dunia katika mkutano wa kilele wa G7 huko Évian...
https://www.youtube.com/watch?si=RXfE1UWd28J43tmx&v=p9DSYMQUl8Q&feature=youtu.be
NA MATUKIO DAIMA MEDIA, IRINGA
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Kimata ametoa maoni yake kuhusu mwenendo...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa...
Kama umewahi kusikia usemi wa nyani haoni..., basi hiyo ndio Tanzania ya uongozi wetu wa sasa.
Hebu Fikiria. Huko Afrika Kusini, tarehe 16 mwezi wa sita mwaka 1976, wanafunzi waliandamana kwa...
Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo...
Joseph Kasheku Musukuma, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kuchukua hatua kali za kinidhamu dhidi ya mawaziri wake wanaotoa kauli za kibaguzi.
Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa...
Mchungaji Godfrey Malisa amesema; "Bado tuna safari ndefu sana. Demokrasia ya Tanzania inatakiwa kuendelea kuipigania, bado sana. Bado kuna safari ndefu. Kwa sababu kuna wanaotaka demokrasia na...
Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;
Alichokiandika katika akaunti yake ya X
Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu.
Kwa shukrani za dhati, heshima, na...