Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof Ibrahim Lipumba, ametangaza kuwa kutokana na uchaguzi mkuu ulivyoendeshwa nchini, chama hicho hakitashiriki uchaguzi wowote na badala yake kitajikita...
37 Reactions
85 Replies
9K Views
Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa...
33 Reactions
135 Replies
11K Views
Mimi nilikua msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura. Mambo yafuatayo niliyoyaona katika kituo yanathibitisha hoja yangu. 1: Kufungua kituo Kituo kilifunguliwa SAA moja kamili na msimamizi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama ambavyo kinara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amekua akinadi sera za CHADEMA baadhi ya sera mojawapo ni Sera za Majimbo. Katika kunadi sera hizo, Sera za Majimbo...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo...
19 Reactions
118 Replies
10K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi...
42 Reactions
105 Replies
10K Views
Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa...
26 Reactions
411 Replies
36K Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha...
6 Reactions
79 Replies
8K Views
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine. Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya...
50 Reactions
201 Replies
16K Views
Kuna jambo nimeliobserve toka Lissu arejee kutoka Ubelgiji kuhusu mahusiano kati yake na muasisi wa Chama Cha Chadema mzee Edwin Mtei Baada ya kupitishwa na kuwa mgombea wa CHADEMA niliamini...
11 Reactions
106 Replies
11K Views
Election Day is tomorrow. I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it. So I’m not gonna make a prediction one way or the other. But let’s face it, most of us...
30 Reactions
101 Replies
7K Views
Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya...
10 Reactions
62 Replies
7K Views
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo. Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wametekwa...
116 Reactions
345 Replies
25K Views
Wakuu Salaam: Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa...
19 Reactions
244 Replies
21K Views
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawa
62 Reactions
388 Replies
43K Views
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango...
39 Reactions
256 Replies
19K Views
UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari...
37 Reactions
336 Replies
35K Views
Nilitegemea hadi muda huu mmeshaitisha press conference kuelezea kinachojiri kuliko kila mtu kulia kivyake, Ester Bulaya analia kivyake, Heche analia kivyake, Zitto kivyake na Lema kivyake...
14 Reactions
116 Replies
9K Views
Back
Top Bottom