Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akikataa bilioni 2 basi tafuteni kamgodi au kakitalu mpeni anyamaze. Ila kumjibu kwa hoja ni ngumu sana Watangazaji wameulizwa kimoja ambacho CCM wameweza wameshindwa
2 Reactions
3 Replies
222 Views
Mabalozi wa wote walitambulishwa vizuri tu ila ilipofika zamu ya Balozi wa Iran shangwe zikaongezeka Bungeni hii inamaana gani kidiplomasia? Connect dots za ziara ya Russia ya Mama means sasa...
10 Reactions
15 Replies
339 Views
BARA hii imekaaje kwa sisi waislam?
0 Reactions
6 Replies
178 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetuma onyo kali kwa waliokuwa wanachama wao, Saidi Issa Mohamed na Ahmed Rashid, kikitaka wajiandae kukilipa chama hicho mamilioni ya fedha kama...
2 Reactions
11 Replies
612 Views
Salaam
12 Reactions
66 Replies
1K Views
Nadhani utakubaliana na mimi kwamba bila fujo, ghasia na uropokaji hakuna kikundi kinachoitwa Chadema humu nchini. Na sote ni mashahidi kwamba matusi, chuki, uropokaji, mihemko nonsense na kufanya...
-1 Reactions
0 Replies
77 Views
Hii serikali Kila kukicha inawaza tu namna ya kuikomoa CHADEMA. Sasa Chadema nao ni Wajànja kuwapiku wote walioko serikalini. Matamko Yao Free Tundu Lissu na Kàtiba mpya ni Sasa ni pasua kichwa...
15 Reactions
33 Replies
777 Views
Na. M. M. Mwanakijiji SIYO jukumu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake ili vijirekebishe na hatimaye viweze kutekeleza majukumu yao...
29 Reactions
106 Replies
10K Views
Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu...
12 Reactions
3 Replies
377 Views
Akizungumza na waandishi wa habari lo Juni 15, 2026, Mkurugenzi wa Uenezo na Uhusiano wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema operesheni Katiba Mpya Free Lissu phase 2 itakayoanza Kanda ya Kusini Juni 18...
1 Reactions
0 Replies
118 Views
  • Redirect
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally amemuomba Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi kumshawishi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili mapumziko ya Mwaka Mpya...
0 Reactions
Replies
Views
Kulikuwa na mji ambao wananchi wake walianza kudai haki zao. Walitaka huduma bora, usawa, na sauti yao isikike. Lakini badala ya kusikilizwa, wanasiasa walipanda majukwaani na kusema: “Msilete...
3 Reactions
3 Replies
142 Views
YAH: OMBI LA KUHARAKISHA UHAMISHO WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, MAJIJI NA MANISPAA BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2025 Mheshimiwa Rais, Kwanza kabisa, tunakupa pongezi kwa juhudi zako kubwa za...
1 Reactions
10 Replies
283 Views
Yapo mambo tunaweza bishana kuwa ama tumefanya vizuri ama tumefanya vibaya; lakini kwenye swala la demokrasia hata anayejifanya kutetea kuwa tunafanya vizuri, ukimwangalia usoni atakwepesha macho...
3 Reactions
6 Replies
165 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili Utangulizi, Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Kila uchao anaibua tuhuma mpya dhidi ya Chadema. Msimnyamazie mpelekeni mahakamani (najua hakuna mahakama, lakini kuna some few Judges wanaweza kuliona hili wakalifanyia kazi). Mpelekeni...
9 Reactions
34 Replies
470 Views
  • Redirect
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026 itakuwa siku ya mapumziko kwa Zanzibar ili kuukaribisha Mwaka Mpya wa...
0 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amedai kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, ametumwa kutengeneza propaganda za uongo...
4 Reactions
7 Replies
341 Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi inayoendelea nchini kuhusu Utanganyika na Uzanzibar kiasi kwamba sasa mijadala hiyo imeingia kwenye Muungano wenyewe! Madai ya mwanzo kabisa ilikuwa kutaka...
5 Reactions
28 Replies
608 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…