Hizi kauli RASMI zitokazo vinywani mwa Mawaziri wa CCM ndani ya Baraza la mapinduzi Zanzibar jee zinayofauti gani na matendo wafanyayo Wajinga kadhaa kule Afrika kusini dhidi ya wageni? Yaani...
Nimeona huyo Sauda Mkuya aliyewahi kuwa waziri wa Fedha wa serikali ya muungano kuwa watanganyika wasitibiwe huko ZNZ. Ni sawa kabisa, hivi kuna mtanganyika anayeenda kutibiwa Zanzibar, yaani...
Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama...
Kukiwa na vuguvugu la maandamano tar 7 July, 2026
Na kesi ya Lissu kuahirishwa parefu Hadi tar 6 July, 2026
Zingatia hizo tarehe..why tar 6?
Je unaweza kusema waja kule wanawaza Nini?
Au...
Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani?
Mbali na...
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, alikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria kikao cha Bunge kusikiliza uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Serikali imependekeza vyanzo vya ziada vya mapato kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 ili kugharamia Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote. Hatua hii itahusisha marekebisho ya sheria...
https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha...
Jamat, Naibu Mkuu wa Ujumbe wa Kidiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alitambulishwa bungeni baada ya kukamilika kwa uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2026/2027, ambapo wabunge walipiga...
Nimekuwa nikikwepa sana hili jina na kuita CHADEMA Manyumbu ila kama watarudia kosa lile la 2015 talitambua rasmi
Hakuna mtu aliyekuwa na USHAWISHI ndani ya CCM kama Lowassa na hata sasa hakuna...
Wafuasi wa Chadema wakiongozwa na Mbowe na Lisu wametukana, kupinga na kubagaza sana mradi huu tangu kuanzishwa kwake kwa hiyo kuwaona wakiuongelea au kupanda kwenye treni hii ni kama tusi kwa...
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo...
Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA.
"Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila...
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimewasilisha bajeti za mwaka wa fedha 2026/2027 zikiwa na vipaumbele tofauti kulingana na ukubwa wa uchumi na mahitaji yao ya maendeleo.
NchiBajeti ya...
Mwenye macho haambiwi tazama.
Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni Juni 11, 2026, ametangaza kupandishwa kwa viwango vya ushuru wa...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Kuongeza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye magari...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akisema kuwa takwimu za miaka ya karibuni...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
"...mkakati wa kuongeza mapato.
Mheshimiwa Spika, takwimu za...