Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

Muwape mamlaka yao kwanza ,wajiunge na jumuiya wanayotaka ..Wamenunua na kulipo kodi , wewe jaribu kuwagusi uone moto ..
 
Tunahitaji walau tujue
Binafsi nashangaa kuona kwamba watanganyika ndo kwanza wanaanza kuyaelewa haya mambo. Lakini sisi watanganyika tunaofanya kazi na kuishi ZNZ hayo yaliosemwa si mageni bali tu kwa sasa wameanza kuyaweka wazi. Nimejaribu kusikiliza utetezi wa waziri wa afya nadhani amejaribu tu kupoza, lakini alichokisema ndo uhalisia. Tujiulize aliposema watu milioni 60 alimaanisha population ya wapi? Kwenye ufafanuzi kataja ZHIF, hii wakati inaanzishwa members walikubaliwa kwamba wategemezi wao ambao ni wazazi, wenza na watoto bila kujali ukomo watanufaika. Matokeo yake makato yaliovoanza zitokatolewa kadi kwa wanachama pekee yake. Hakuna mwenza wala mzazi wa mwanachama anayeweza kunufaika. Badala yake ukienda kufuatilia unaulizwa wewe unafanya kazi sekta gani? kama uko serikalini familia inapewa huduma kama uko sekta binfasi unaambiwa inabidi wazazi na mke au mme uwakatie bima ndani ya bima kwa kulipia 250,000 kwa mwaka. Manake ni nni? Ni kwamba kwa baba, mama na mke utoe laki 7 na nusu kila mwaka ili watu hao waweze kuwa wanachama wa zhif na kupata huduma. Hii yote imefanyika kwa makusudi kwa sababu wanajua sekta binafsi walio wengi ni watanganyika, japo na namba ndogo ya watu wao walioko sekta binafsi nao wameathirika. Pia niliwahi kuandika kuhusu wanafunzi wa vyuo vya kati kutoka bara wanapokuja Zanzibar kufanya mafunzo kwa vitendo kutakiwa kulipia kibali cha mafunzo wizarani ambacho kingharimu 150K. Mambo ni mengi kama wewe ni Mtaanganyika ukiamua kununu nyumba hautoweza kuiza tena, manake wakati wa kuuza utaombwa kitambulisho cha Mzanzibari, lakini wakati huo huo watu wa mataifa mengine wanannua nyumba na kuuza bila shida, wananua ardhi bila shida yoyote, shida ni mtanganyika.
 
Huu muungano ukivunjika wao ndio wana kikubwa cha kupoteza kuliko Tanganyika

Kila siku hua nasema hili Swala.

For average Citizens, ukiacha mashehe na viongozi wata kua na disadvantages.

Bara opportunity ni Nyingi kuliko Zanzibar.

Huu Muungano tungeungana na Wakenya labda tungekua tunaongea lugha moja au sisi wa Bongo ndo tungekua tunalalamika maana kenya wako more aggressive kwemye pesa kuliko sisi.
 
Kuna walio lima mashamba makubwa bara. Hivi ile dawa ya kukausha majani inaitwaje? maana slesha litachelewesha kazi.
 
Wewe endelea kuvaa tu msuli huko Mchamba Wima! Wazanzibar wenye Biashara zao huku bara wakikusikia wanaweza kukuchinja! Kwa ufupi Tofauti ya MAVI na UBONGO wako ni Joto na Harufu tu
Eeeeh hili ni tusi jipya aseee khaaa 🙌🙌😂
 
Taratibu jamani haya mambo kama mnataka yafike huko myapeleke kisheria. Kuna watakao kumbwa na maafa katika haya mambo haitajarisha ni mbara au mzanzibar.
Viongozi muwe mnapita ktk mitandao kuona watu wanamuelekeo gani na matukio ya nchi ili at least mjue ya kudeal nayo. Kama mnataka kuvunja muungano vunjeni kwa utaratibu ila hii ya kutajiana mali wanazomiliki upande wa pili nao watafanya hivyo hivyo kule. Haitaishia katika Mali tu. Itaenda katika utu. Mnakumbuka ya Zimbabwe uchaguzi wa 2007?
Mugabe baada ya kuona Changirai anamshika bega. Akarudi na masikini. Na kwakuwa masikini wak desperate. Akawaambia yeyote asiye na shamba akawahi shamba la karibu la mzungu aliye jirani naye. It was a good and patriot move. Lakini haikufanywa out of good will and lawful matokeo yake ni kuua wageni na vikwazo mpka leo Au wanapambana navyo.
Viongozi msitupeleke huko.
 
Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?

Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom