Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa...
-3 Reactions
134 Replies
3K Views
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa...
56 Reactions
2K Replies
294K Views
Habari Leo Novemba 13, 2010 VIONGOZI wakuu wa Jeshi la Magereza nchini wanakabiliwa na tuhuma nzito za matumizi ya Sh bilioni 40 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mfumo mpya wa kusajili...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Laiti kama Mwendazake angejua msaidizi wake hatomtetea ila atamzamisha sidhani kama angemuamini kuendelea nae . Moyo wa Mtu ni fumbo kubwa sana , trust nobody. Jumapili njema ,nawapenda sana...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Haya ni maono baada ya tarehe 21 ya siku ya uchaguzi. Ni tarehe 25 na kuendelea. Kipindi hiki tayari Mwenyekiti ameshafahamika, naye ni FAM. Kwa kuwa huyu mwamba ni injinia wa siasa za bongo...
3 Reactions
17 Replies
780 Views
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha...
44 Reactions
2K Replies
204K Views
Katibu mkuu wa Chadema baada ya Kuuawa Kwa Ali Mohamed Kibao alikuwa anahitajika Polisi kutoa maelezo lakini yeye akaenda kujificha Kanisani Msimbazi center Leo Makamu Wenyeviti wa Chadema mh...
1 Reactions
15 Replies
678 Views
Kila mwenye mapenzi ya siasa za Tanzania, basi macho na masikio yake yapo CHADEMA kuelekea uchaguzi wao mkuu. Hii inaonesha ni kwa namna gani CHADEMA ni bidhaa muhimu kwenye siasa za Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
557 Views
Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Ooops! This' what's up guys:
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani akimkabidhi hati ya uwakili Rhidhiwani Kikwete leo asubuhi Mahakama kuu jijini Dar. Jumla ya mawakili wapya 128 walipatiwa hati zao leo Mama Salma Kikwete akiwa...
0 Reactions
91 Replies
20K Views
Wakuu, Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi. Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Salaam
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimenukuu kutoka kwa mdau mmoja kutoka kwenye chombo kimojawapo cha habari. Kwa mtazamo wangu na uchunguzi wangu kwa kuunganisha Dot. Pamoja na inshu ya Sasa ndani ya CDM Kuna mambo mengi nahisi...
7 Reactions
104 Replies
7K Views
Nimesikia mengi toka huku mitaani. Wanakusifu sana jinsi ulivyoongoza CHADEMA kwa muda wa miaka 20 lakini wanakuomba kwa uchaguzi ujao KUBALI YAISHE. Unaombwa kumuachia mwingine naye asimamie...
1 Reactions
7 Replies
623 Views
Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza...
3 Reactions
7 Replies
671 Views
Huu ndio ushauri wangu Kazi za kanisa katika jamii ni pamoja na kusaidia kuondoa migogoro kwa kutoa huduma za amani na upatanishi. Kanisa lina jukumu muhimu la kuwa kiungo cha umoja, kutoa...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa. Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo...
2 Reactions
11 Replies
707 Views
Back
Top Bottom