Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
Taarifa zaidi zinasema kuwa Mbowe amekamatwa akitolewa kwenye Appartment Moja kwenda nyingine akitumia gari Nyeusi, Tinted yenye namba za usajili T 830 DEW aina ya VX. Wamemkamata akiwa nje ya geti ya Appartment hiyo ambayo ni miongoni mwa majengo ya siri ( Safe House) yanayomilikiwa na CHADEMA.
=====
UPDATES:
Apekuliwa nyumbani, arejeshwa Central...
Aachiwa:
======
Sakata la Mbowe kutajwa na Makonda kuhusika na biashara ya maddawa ya kulevya
======
Visa vya watu maarufu wengine waliowahi kutuhumiwa au kukamatwa na madawa ya kulevya

Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe amerudishwa Polisi Kituo cha Kati Dar es salaam usiku huu baada ya Jeshi la Polisi kupekua nyumba zake Mikocheni na Kawe, tuhuma madawa ya kulevya
Aachiwa:
Makamanda Mwenyekiti wa Taifa Mhe. Freeman A. Mbowe amekwisha kutoka police muda huu...
Makamanda wote tukutane kesho mahakama kuu kwenda kumsindikiza kamanda Mbowe kwenye kesi aliyomfungulia Mkuu wa Mkoa wa Dsm...
By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
======
Sakata la Mbowe kutajwa na Makonda kuhusika na biashara ya maddawa ya kulevya
- Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa
- Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
- Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
- Kauli ya Freeman Mbowe Baada ya Makonda Kumtaja kwenye Orodha ya Wahusika wa Madawa ya Kulevya
- Dawa za Kulevya: CHADEMA wafungua kesi dhidi ya Makonda
- Upinzani wapinga Mbowe kutajwa sakata la Madawa ya kulevya
======
Visa vya watu maarufu wengine waliowahi kutuhumiwa au kukamatwa na madawa ya kulevya
- Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!
- Wema Sepetu kapatikana na bangi
- Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
- Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...
- Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!
- DAR: Masogange ahukumiwa miaka 3 Jela au faini Mil 1.5 kwa kosa la Dawa za kulevya! Aachiwa huru baada ya kulipa faini