Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Heshima kwenu Wakuu, Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu. Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mpo salama! Watanzania wengi wakikuambia unabusara nenda kajitafakari Sana. Kwani wao wanachanganya Unafiki na Busara. Wengi wao wakikuambia unabusara Sana tambua wanamaanisha wewe ni Mnafiki...
4 Reactions
4 Replies
478 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili...
13 Reactions
50 Replies
2K Views
Power Balance , Kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa . Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake...
0 Reactions
4 Replies
443 Views
Heshima sana Wanajamvi, Mheshimiwa Heche anagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa,hii ni nafasi ya pili kubwa ndani ya CHADEMA. Uchaguzi wa Kanda ya Serengeti nafasi ya Mwenyekiti...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Huu ni mwaka wa uchaguzi Mkuu. Kwa sababu tumeshajifunza chaguzi tatu mfululizo yaani 2019, 2020 na 2024 hatuhitaji tena kubembelezana. Nadhani kama ni busara au hekima vimetumika na sasa iwe...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Now that Tundu Lissu has made some progress in his convalescence, it is of no surprise that he has decided to get back into the fray. He has done several interviews with both foreign and domestic...
47 Reactions
268 Replies
21K Views
Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia...
0 Reactions
2 Replies
350 Views
Kuna kale kamsemo kanakosema tenda wema uende zako usingojee shukrani. Mheshimiwa mbowe ameeleza kwa masikitiko namna lisu anavyomnanga ili hali aliwahi kumsaidia vitu vingi sana. Nakushauri...
6 Reactions
7 Replies
464 Views
WanaJF, Nafikiri Sisi ndio tumechelewa kulifahamu hili Jambo lakini kumbe ndugu Freeman Aikael Mbowe alishaanza kutekeleza Hilo muda mrefu, kwamba kwa sababu yeye ameshindwa kupambana na CCM kwa...
7 Reactions
10 Replies
858 Views
Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Tangu Mbowe atangaze kuingia tena kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kutetea nafasi yake ya uenyekiti hajaweza kusema ana agenda gani mpya kwa Chadema ili achaguliwe tena. Muda mwingi amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Nitatoa hints TU: LISSU alisema awali kwamba hawezi kugombea nafasi ya MBOWE. Team MBOWE wakamwandalia mchakato wa Abdul. Inaelekea walikuwa na manufaa na mchakato. Mchakato wa Abdul ulipokwama...
4 Reactions
10 Replies
921 Views
Akihojiwa na Kikeke nimemsikia Mbowe akisisitiza kwamba wapiga kura wataitwa mmoja mmoja na kuhojiwa hadharani (live) katika Kumchagua Mwenyekiti Mpya. Binafsi nadhan hiyo sio sawa, wangepiga...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
14 Reactions
119 Replies
4K Views
Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema...
2 Reactions
8 Replies
554 Views
Scotland Yard hufanya ukaguzi Katika nyanja na Fani mbalimbali za kotaasisi na kijamii Inaonekana Chadema Kuna Tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria ndio sababu Wananchi wameomba Waziri mkuu...
1 Reactions
16 Replies
540 Views
Wakuu, Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto. Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Tukiacha Uchawa na kujipendekeza kama Kahaba aliyeona mkoba wa Dhahabu za Babylon kwenye chumba cha siri kwa kuhani wa mungu Murduk ndani ya hekalu la Enki. Ile hotuba Madame kaharibu kabisaaaa...
18 Reactions
75 Replies
3K Views
Back
Top Bottom