Wala sijashituka na maamuzi ya leo

Wala sijashituka na maamuzi ya leo

wala sijashituka na maamuzi ya leo. That was the obvious! And many "OBVIOUSNESS" WILL HAPPEN.

Time will tell! Keep this post
Mahakama zimewekwa matakoni na watawala. Ndiyo maana hata wakijambiwa uharo na watawala wanabugia tu bila kujua kuwa wanadhalilika.

Quote by Rostam " Mahakama za simu moja tu"
 
wala sijashituka na maamuzi ya leo. That was the obvious! And many "OBVIOUSNESS" WILL HAPPEN.

Time will tell! Keep this post
Siku akitiwa hatiani na kunyongwa ndio mtajua Serikali haiongozwi na kelele za mitandaoni na inabidi iheshimiwe! Nyambafu
 
Maneno ya Rostam Aziz mwaka 2023 kuhusu mahakama zetu yamejitosheleza kabisa. Nina uhakika hata Lissu mwenyewe atakuja kuyatumia kama reference siku za usoni, pamoja na namna wanavyopatikana.
 
Back
Top Bottom