Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema suala la kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, mwaka 2017 lilipaswa kuwa miongoni mwa ajenda muhimu zinazofuatiliwa na kujadiliwa...
Taarifa hii imemkata maini na kusababisha kujificha huko Mbutu
Baada ya Chadema kutwaa madaraka hivi karibuni Yericko atakimbilia Malawi, tunafahamu hata mahali atakapofikia
Hii ni kwa sababu...
Ni kiongozi pekee ambae Afrika imethibitishsa kuwa anapenda madaraka.
Alilazima Ndugai ajiuzulu, na alifuta safu yote iliyokuwa karibu na mtangulizi wake.
Kwa Lissu ni kikwazo cha ufisadi wake...
Imenishangaza sana baada ya kusikia eti eneo Moja ndani ya manispaa hiyo mpya wananchi wameingia mikataba na serikali husika walipie maeneo Yao kwa kuuziwa na serikali husika lakini wananchi hao...
π Chadema wamekuwa bingwa wa kutumia mikutano ya hadhara kama majukwaa ya kupiga kelele, matusi na kuchochea uvunjifu wa amani badala ya kujenga hoja za kisera.
π Chama hiki kimejenga...
π§ππ‘πππ‘ππ, πππππ₯ππ πππ£πππ πππ§π¨π ππ π¨π¦πππ₯πππππ‘π’ πππ§πππ π¦πππ§π π§ππ‘π’
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema katika...
Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole.
Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia...
Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana...
Hii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama Serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama Serikalini kwa watumishi...
Jana, tarehe 5 Oktoba 2026, usiku wa majira ya saa 5:45 usiku niliandika katika ukurasa wangu nikimkariri Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ya kuwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alitarajiwa...
Hahusiki na chochote ndani ya chadema lakini viongozi na wana chama wa chadema wanaweweseka na ukimya wake, lakini zaidi sana kuonekana kwake kwenye hafla za nchi kitaifa kumewatia kiwewe zaidi...
Familia imethibitisha kwamba Vichwa Vya Marehemu Chivayo na Mkewe havikupatikana eneo la ajali, je sio uthibitisho wa kuthibitisha kwamba Hawakuwemo kwenye hiyo Ajali.
Ndugu zangu Watanzania,
Linapokuja suala La Kuichezea Lugha Ya Kiingereza kwa ufundi na ustadi na Uhodari pamoja na Umahiri kiukweli Rais Samia anakuwa hana wa Kulinganishwa Naye . Anakuwa na...
Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa.
Endelea...
Freeman Mbowe.
Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke...
Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti.
Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la...