Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,317
- 18,493
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema tayari amekutana na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, tangu uchaguzi ulipomalizika na kufanya naye mazungumzo marefu nyumbani kwake.
Hata hivyo, Heche amesema hawezi kujibu kwa niaba ya Mbowe kuhusu sababu za kutofika mahakamani katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa Mbowe mwenyewe ndiye anayepaswa kuulizwa.
“Kwanini haendi mahakamani? Siwezi kumjibia mimi,” amesema Heche.