britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Russia na Marekani zina mgogoro wa siku nyingi sana hata kabla USSR haijasambaratika,
Russia na Tanzania zimesaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi.
Kwa mujibu wa makubaliano hayo vyuo vya kijeshi chini ya wizara ya ulinzi ya Russia vitatoa mafunzo kwa wanajeshi wa Tanzania.
Makubaliano hayo yalisainiwa jana mjini Moscow na waziri wa ulinzi wa Russia Bw. Sergey Shoigu na waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Hussein Mwinyi ambaye aliongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara nchini Russia.
Hatua Hii itakuwa na madhara gani hasi na chanya?
Au ndo mambo ya Kim Jon Gufuli kupelekea kuegemea zaid jeshi hata kwenye shughuli za wananchi wa kawaida?
Ngoja tuone japo mapema