Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 5,268
- 7,191
Naamini wanaJF wengi mtakuwa mnamjua huyu jamaa huko mitandaoni hasa YouTube.
Mwalimu google ni nguli mchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa na siasa na Tanzania,haamini katika mfumo wa democrasia.
Haamini kama ardhi ya watanzania ni mali ya watanzania,katiba zote ni mbovu hii ya sasa na ya warioba zote hazifai.
Tuelimike tusiwe wasomi,ardhi ya Tanzania haiuzwi!