Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema yuko radhi kujiuzulu nafasi yake endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitathibitisha kuwa na wanachama milioni 12.5. Shaibu amesema chama chake cha...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani mkoani Tanga, Jumaa Aweso amesema kukamilika kwa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Tanga- Pangani- Saadani- Bagamoyo kutafungua fursa nyingi za...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Grace Shiyo amesema CCM hakuna uhuru wa kutoa mawazo, bali mawazo ya Mwenyekiti ndiyo yanasikilizwa. "Kwa ufupi CCM hakuna uhuru wa maoni, CCM siku zote...
1 Reactions
3 Replies
454 Views
Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI "Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Mkongwe Maalim Seif hadi anakwenda kwa muumba wake (Mwenyezi Mungu amrehemu na ampunguzie adhabu za kaburi) amefanya Kila jitihada za kuingia Ikulu ya Zanzibar lakini hakufanikiwa, hakuna mkakati...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika...
0 Reactions
7 Replies
479 Views
Nimeona picha za Mhe. Rais kuzindua Boti za Wavuvi huko Tanga. Cha kusikitisha pamoja na nchi yetu kuzalisha Ma engineer tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mradi huo wa Boti za...
2 Reactions
11 Replies
668 Views
The UK must look again at international agreements, Conservative leader Kemi Badenoch has said. In her first major speech on foreign policy, Badenoch said if the European Convention on Human...
0 Reactions
4 Replies
421 Views
Wakuu, Yaani kwa kauli hii inaonekana hawa ACT kwanza kabisa watashiriki huu Uchaguzi na pa so far hawana hela za kuzunguka kufanya kampeni kufanya Uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
365 Views
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, tarehe 23 Februari, 2025 amefanya ziara ya kutembelea washiriki wa mafunzo ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la...
0 Reactions
3 Replies
641 Views
My Take Nakubalina na PM 💯 💯 Kwenye suala la Maendeleo Samia hana mshindani Kila mtu anaona huko aliko 👇👇 --- RAIS DKT. SAMIA NI TIBA YA MAENDELEO – MAJALIWA ▪️ Waziri Mkuu asema Rais Dkt...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Kuna habari nimieona ambapo madiwani wa Arusha mjini walikuwa kwenye kikao rasmi cha kazi. Jambo la kusikitisha ni kwamba hicho kikao kilikuwa kama kikao cha chama huku watu wenye maslahi yao...
2 Reactions
10 Replies
666 Views
Tanzania closer to finalising real estate law Dar es Salaam. The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development has engaged various stakeholders in the ongoing process of reviewing...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wapo bora wapindue mdomo by kabudi https://www.instagram.com/tbc_online/reel/DEX4vBeOkZy/
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Huyu Mtu anaishi ,Amekufa Kiroho tu ila ila Anaishi. Kuanzia tarehe 16/3/2023 wilaya ya Chato ilianza kufurika wageni wakija kuadhimisha miaka miwili ya kufariki dunia kwa Dk Magufuli, hata kwenye...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi ametoa wito kwa wanachama wa UWT Wilaya ya Iringa Vijijini kuwa makini na matukio ya utekaji kwa kupigiwa simu na kufuata maelekezo pasipo...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Hiyo ni orodha ya vinara wa Upinzani waliotikisa Nchini kuanzia 1992 hadi Leo Wengi wakiwa wenyeviti wa vyama lakini Kafulila aka Tumbiri aliitikisa Escrow hadi Singasinga akatupwa Jela na Zitto...
1 Reactions
14 Replies
808 Views
Kuna watanzania wamepanic kuhusu M23 kuchukua eneo la Goma DRC na kauli ya Paul Kagame wa Rwanda. Ndugu zangu vita sio jambo la mchezo wala la kuliomba. Lakini pia tukumbuke hakuna nchi ndogo...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Akizungumza leo, Jumatatu, Februari 24, 2025, katika mkutano wa hadhara wilayani Lushoto, Makamba amesema kuwa uzinduzi wa jengo la Halmashauri la Bumbuli ni kielelezo cha shukrani na mapenzi ya...
0 Reactions
3 Replies
726 Views
Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom